PENTAKINYE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 817
- 829
ETI HUKO HAKUNA MASKINI KAMA HUKU KWETU?
Tatzo kuwa ni Sheria ndoto za majimbo zinatofautiana
Ila ukifka pumzka kwanza fanya kazi.jaribu Kuongea kingereza hata kdogo Anza sasa mchakato huo,ila mm ntakuambia pa kuanza lakn gharama inategemea vtu vingi.nenda kwenye ofisi za makazi mapya eleza unachotaka alafu watakuambia taratibu za kufuata na utafanya hvyo.kama unawezakuweka wazi nnaweza kwenda kuulza kwa ajl yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Jombi Usisahau home Bujumbura
Afrika zipo Passport zinazodharaulika upeo,
true wako negative sana kwa mambo mengi sanaUtayari upo kwa muda c kwa muda wote alafu mbongo ni mtu yupo negative kwaiyo cshangai.
Ebu jarbu kuwafatlia,mada inayozungumzia kilimo weyemwe watacomment lishu
Hua nawashangaa sana so negative
Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika zipo Passport zinazodharaulika upeo,
1. DRC,
2. Somalia,
3. Nigeria &
4. Burundi.
I suspect huyu jamaa hata USA hajafika maana hakuna anachokijua kuhusu USA ukiacha kubabia-babia tu mitandaoniHongera kwa kufika huko salama tumeshapeleka wengi sana wa kutoka Nyarugusu,Nduta,Kanembwa,Mtabila,Lukole,Mtendeli na Karago wakimbizi wa kutoka Rwanda,Burundi,na DRC.
La msingi huko ni kuhakikisha watoto wenu wanasoma na siyo kufanya starehe si unajua Marekani hata watoto wa kike wakipata mimba wanasoma shule hakuna kufukuzwa labda aache mwenyewe tu.
Kingine ni kufuata sheria za huko ili ukidhi vigezo vya kuja kupata uraia.
Jitahidi sana kuhakikisha unajipanga kimaisha maisha ya huko ni mchakamchaka.
Unaishi Jimbo gani?
Angalia upeo wako ulipoishia yaani unawaza sheria tuAcha porojo zako kijana uyo anae zi dharau ni kwa mujibu wa Sheria ipi!?wabongo sometimes mnazingua kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bata vipi wanakula bata sana huko?
Florida beach ushafika,mambo ikoje huko
karibu florida mkuu tule maisha
Inaelekea huyu ni miongoni mwa wabeba boksi!
yaaah ni mmbeba box mwenzetu
Mara nyngi sisi watu weusi tumeongoza kwa matukio ya uhalifu,tunakuwa watu wenye funjo sana,hasa wanaotoka Africa kuja kutafuta marekani tunapnda sana uhuni.kwaiyo ktk swala hlo tulengwa sana,marekani wanazngatia sana sherianaitaji kujua kwann black American (niggers) huuliwa kwa wingi na police kuliko white America, na mara nyingi hakuna hatua za kisheria ambazo huchukuliwa dhidi ya police hao?!!
Sent using Jamii Forums mobile app