Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,338
- 56,032
Nitumie njia gani ili waniwezeshe kwenye mradi wangu?
Ndio nimekuelewa labda ungenipa ushahidi flani ili ni hakikishe unacokiongea sababu pia na Mimi ninasababu ya kupinga ulicho andikia!Nimuliza ninalolijua.
daah hii kweli hali ya typingCNA taarifa na tangozo hlo na Mimi cjawah kununua au kuvaa nguo toka kmpun hyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu tunalipia dollar 40 kwa mwezi.hapo full matumzi Ila kupga Africa gharama zngnJe radio ziko kama huku masafa ya FM au unalipia? Luninga malipo yake yakoje kwa mwezi? Gharama za simu kupiga au SMS zikoje huko na umeme ni luku kama huku au mfumo ukoje huko? Nisaidie niyajue hayo mdau.
Sent using Jamii Forums mobile app
C lazma.Wasap maniga, upo marekani mwakamzima umeshindwa ku edit hiyo JR iwe JF?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Czan Kama n kwel unalosemaSwali langu moja tu.
Kwanini Wakongo, wanyarwanda, Warundi na baadhi ya Waganda mnapenda kujiita Watanzania hadi mmeharibu taswira ya Mtanzania mkiwa nje ya nchi??????????????????????????????
Nnayajua meng na nmesomea kabla ya kuingia marekan nmeisomea kuhusu NCHI ya marekani nzma kla ktu kuhusu usa moi hstoriaDaah mwaka mmoja bado hujajua kitu kabisa!!
Ndio n kwa hisani,NCHI yako ipo kwa hisani ya watu wa marekaniMalizia umefika Marekani kwa hisani ya UNHCR
Ktabu hcho...nlpewa elimu kuhusu NCHI ya marekani na Chet nkapata.Daah mwaka mmoja bado hujajua kitu kabisa!!
HELLO TANZANIA
habari zenu Wana JF na TANZANIA kwa ujumla
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu
Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani
mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA
Karibu

Yapo sana. Binafsi niliwahi kuitwa nikataarifiwa kuwa hapo nilipokuwa nafanya kazi, ameajiriwa MTz mwenzangu. Nikaenda upesi idara aliyopo na kufika tu Mimi nikamwaga Kiswahili. Nikaambulia mtu kujiuma uma na kucheka cheka. Kumbe naye alikuwa kama mwanzisha uzi, wamepita tu Tz, hata lugha haijui, ila huko wanajinadi ni WaTz.
Czan Kama n kwel unalosema
Maana watanzania wanawajua n wauza madawa,maneno mengi,kutokuwa na Imani nae kuishi kisheria marekani
Kwaiyo kwa ukitaka usalama wako.jivue utanzania wako maana NCHI nyngi hawaamnki.mkongo hanaga tatzo kwenye NCHI za watu.
NB;mtz Hana sifa nzur