Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

HELLO TANZANIA
habari zenu Wana JR na TANZANIA
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu

Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani

mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hao wa bongo kazi yao majungu tuu,,Naitaji kuuliza je ikiwa umepata chance ya kwenda marekani kwa njia ya Halali ukiwa peke yako ila huku nyuma una familia (mke na mtoto) so inacukua mdaa wa kiasi gani wewe kuweza kuwafanyiaa mpango na wawo waweze kukukuta USA na garama zake zikoje??mana kuna ishu niko nafatikia Mungu akipenda ikiwa sawa nadondoka kwa Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe umekaa Tz ndio maana naona unafahamu kiswahili .

Najua Marekani wanachukua wakimbizi nakuwapa Scholarship kwenda kusoma Marekani

Je wewe Marekani umeenda kusoma au kuishi?

Ni mafanyikio gani umepata mpaka sasa ya kuishi Marekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio scholarship ila n makazi mapya yaan kuanza Maisha mapya
Na hatimae kuomba uraia

Mafankio Moja wapo n kufanya Kaz nzur inayonlpa na nmekuwa tengemeo kwa ndg na marafiki weng walioko Africa

Saiv nachukua kozi za kupata GED ambayo itaniwezesha kusoma ktk vyuo vya marekani

Natarajia kupata GREEN CARD n.k.....

of course life iko vizuri.maisha niliokuwa nayaota ndotoni ndo hata nnayoishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hao wa bongo kazi yao majungu tuu,,Naitaji kuuliza je ikiwa umepata chance ya kwenda marekani kwa njia ya Halali ukiwa peke yako ila huku nyuma una familia (mke na mtoto) so inacukua mdaa wa kiasi gani wewe kuweza kuwafanyiaa mpango na wawo waweze kukukuta USA na garama zake zikoje??mana kuna ishu niko nafatikia Mungu akipenda ikiwa sawa nadondoka kwa Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo kuwa ni Sheria ndoto za majimbo zinatofautiana

Ila ukifka pumzka kwanza fanya kazi.jaribu Kuongea kingereza hata kdogo Anza sasa mchakato huo,ila mm ntakuambia pa kuanza lakn gharama inategemea vtu vingi.nenda kwenye ofisi za makazi mapya eleza unachotaka alafu watakuambia taratibu za kufuata na utafanya hvyo.kama unawezakuweka wazi nnaweza kwenda kuulza kwa ajl yako

Haina shida boss tumuombe Mungu atupe uhai nitakutafta mda ukifika ,,!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utayari upo kwa muda c kwa muda wote alafu mbongo ni mtu yupo negative kwaiyo cshangai.

Ebu jarbu kuwafatlia,mada inayozungumzia kilimo weyemwe watacomment lishu

Hua nawashangaa sana so negative

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh! Wewe butu ya congo ni bure kabisa..una uwezo mdogo sana wa kufikiri!. watu kama nyie ndio mnaoiaibisha africa mkiwa huko ughaibuni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi Miami jamani daaah....ile minazi na beach inanipa wehuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikitaka kwenda na kurudi kwa wiki moja nauli yake shilingi ngapi na gharama.
Natamani siku moja niende pale Silver spring Maryland.
Ungelkuwa USA nngekwmbia kutokana na Mahali ulipo ila gharama za nje ya nje kufika hapo maryland cjuw. Na tena nauli utegemea na kampuni husika ya ndege na tena umeanzia kufikia state Gan marekan ndo uende maryland

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HELLO TANZANIA
habari zenu Wana JR na TANZANIA
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu

Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani

mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una mwaka tu mara hii unaijua marekani kiasi cha kutaka kuwaelezea watu ilivyo.acha mzahaa bhana alaf ayo unayojibu ata nikihingia wikipedia nayakuta niaje wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh! Wewe butu ya congo ni bure kabisa..una uwezo mdogo sana wa kufikiri!. watu kama nyie ndio mnaoiaibisha africa mkiwa huko ughaibuni...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia ukwel.mtz maneno mengi sana Ila Hana actions alafu muoga.wakenya wako vizr wanaku very serious na mambo yao, MTZ mwambie sasa acopy na kupaste mzk wake utaukubal tu
subr Beyoncé atembee uchi na ww ufany hvyo maana nawakubal kwa mambo hayo,,,,,,kwa hal hiyo cjuw lin TANZANIA ya viwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vip nyanigabu mbeba maboski anakaa mtaa gani 'hapo marekani'?
HELLO TANZANIA
habari zenu Wana JR na TANZANIA
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu

Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani

mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio scholarship ila n makazi mapya yaan kuanza Maisha mapya
Na hatimae kuomba uraia

Mafankio Moja wapo n kufanya Kaz nzur inayonlpa na nmekuwa tengemeo kwa ndg na marafiki weng walioko Africa

Saiv nachukua kozi za kupata GED ambayo itaniwezesha kusoma ktk vyuo vya marekani

Natarajia kupata GREEN CARD n.k.....

of course life iko vizuri.maisha niliokuwa nayaota ndotoni ndo hata nnayoishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu all the best , VP umeonana naye dikembe mutombo ?
 
Nani anakatalaa?...wacongo bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hapo elimu ya lugha tatzo....
Na ndo shda ya kukaaa tz mpk

big up magufuli uliposema "I know i know" !!!!! Alafu unajfanya unajua kingereza!!!!!!!!!

Dada yng.kla NCHI Ina lugha yke
ukifka marekan utaskia kingereza tofauti kabsa na unachokisikia kenya,Nigeria japokuwa wote wanazugumza kingereza.hapo upo!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuambia ukwel.mtz maneno mengi sana Ila Hana actions alafu muoga.wakenya wako vizr wanaku very serious na mambo yao, MTZ mwambie sasa acopy na kupaste mzk wake utaukubal tu
subr Beyoncé atembee uchi na ww ufany hvyo maana nawakubal kwa mambo hayo,,,,,,kwa hal hiyo cjuw lin TANZANIA ya viwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu..wazungu sio watu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom