Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,320
- 52,015
Sina swali zaidi ya kukuomba umsalimie Nyani Ngabu hapo mabatini nyuma kidogo ya mtaa wa Wachawi
Mwaka mmoja tu UULIZWE kuhusu marekani? mi nadhani ulimaanisha Burundi bwana ila sio Marekani ya Bwana Trump..otherwise tu ungesema tukuulize kuhusu Marekani/Jimbo Flani ila Kusema uulizwe kuhusu MAREKANI utajibu machache sana na mengi utayaacha.
Kama huna cha kuhuliza unakuwa mstarabu tu ukapita kushoto,Mwaka mmoja tu UULIZWE kuhusu marekani? mi nadhani ulimaanisha Burundi bwana ila sio Marekani ya Bwana Trump..otherwise tu ungesema tukuulize kuhusu Marekani/Jimbo Flani ila Kusema uulizwe kuhusu MAREKANI utajibu machache sana na mengi utayaacha.
Ok nitamsalimia hata usijalSina swali zaidi ya kukuomba umsalimie Nyani Ngabu hapo mabatini nyuma kidogo ya mtaa wa Wachawi