Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,381
Ningekuuliza maswali mazito ya msingi ila kwa ngeli zako nimeishia hapa siku ukijipanga ututag sawa mkongo
Uko busy!! Kwanini umetoa nafasi ya kuulizwa maswali kama uko busy??
Hakuna jmbo la salt.ila Kuna maeneo mngn ambayo hayana uwezo wa kuitwa Jimbo,majimbo yapo 50 na ndo zile nyota ambazo zpo kwny benderaJimbo la Salt lake lipo pande zipi? na vipi tamaduni zake?
Am a congolese.Ebu niambie kiwango cha elimu ulichonacho?
Umefikaje Marekani ?
Ww ni Mwafrika wa nchi gani?
Je unafahamu kiswahili sanifu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajua french niulz kwa frenchUko busy!! Kwanini umetoa nafasi ya kuulizwa maswali kama uko busy??
Na namna unavyojibu maswali+mwandiko umewayeyusha watu hawana uhakika wa majibu ikiwa watauliza maswali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Am a ce ngolese.
Najua french, English naongea pia swahl,... kiswahili nmekjua kuandka kwa bidii binafs za mtaan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Feel free.worry noNingekuuliza maswali mazito ya msingi ila kwa ngeli zako nimeishia hapa siku ukijipanga ututag sawa mkongo
Sasa kama upo busy huo utayari wa kujibu maswali umeutoa wapi?
Nmetokea DRC nmeish kma mkimbizi tzNdio Maana unachapia tu kiswahili hadi watu wanskushsngaa
Ulifikaje Nyarugusu .
Pia urifikaje Marekani
Unaweza kutoa channel (njia ) na webzako wa Africa waweze kufika Marekani
Which way did you use to go America?
Tuambie njia zilizokusaidia kufika Marekani na Nn unafanya huko Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nmeona hajui lolote maana anajibu kama mt aliyeulizwa jina lako nanInaonekana hujui ...unaandika Uzi huna info za kujibu watu. Mimi nimeshuhudia watu wengi ninao wafahamu sio story za kaambiwa walikuja huko.VISA zikaisha muda na wanaendelea kubaki huko na maisha yanaendelea. Na wengi tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Utayari upo kwa muda c kwa muda wote alafu mbongo ni mtu yupo negative kwaiyo cshangai.Sasa kama upo busy huo utayari wa kujibu maswali umeutoa wapi?
Nilifikiri wanaokukosoa wanakosea kumbe wapo sahihi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmetokea DRC nmeish kma mkimbizi tz
Nilibahat kuingia marekani kwa mpango wa serekal ya marekani kuwachukua baadhi ya wakimbz nchini Tanzania.
mchakato huo na Maelezo ya kuomba hifadhi marekani ufanyka kwa Siri kwaiyo si vyema kuzianika hapa.
Swala la kumsaidia mwingine anawezaje kuingia marekani ni kinyume na Sheria
So,inategemea kila mtu na maombi yake maana c vyema kufanya ujanja kuingia USA
Labda Kama vile mm nnaweza kumuitaji mtu na nkaanza kumfanyia mchakato nikiwa huku.kwa njia hiyo bora na nzuri ila inaitaj uvumlvu na Kuna njia ya kutumia pesa ila hakikisha vtambulisho vya kuingia nchini marekani anavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haHakuna Mcongo popote duniani ambaye ana future ya maisha,wao wanaishi kama hakuna kesho,ndio maana wazungu wanawachukua kila kukicha kwenda nchi za ulaya coz hawana akili ya kujiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umekaa Tz ndio maana naona unafahamu kiswahili .
Najua Marekani wanachukua wakimbizi nakuwapa Scholarship kwenda kusoma Marekani
Je wewe Marekani umeenda kusoma au kuishi?
Ni mafanyikio gani umepata mpaka sasa ya kuishi Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hao wa bongo kazi yao majungu tuu,,Naitaji kuuliza je ikiwa umepata chance ya kwenda marekani kwa njia ya Halali ukiwa peke yako ila huku nyuma una familia (mke na mtoto) so inacukua mdaa wa kiasi gani wewe kuweza kuwafanyiaa mpango na wawo waweze kukukuta USA na garama zake zikoje??mana kuna ishu niko nafatikia Mungu akipenda ikiwa sawa nadondoka kwa TrumpHELLO TANZANIA
habari zenu Wana JR na TANZANIA
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu
Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani
mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app