Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

Yapo sana. Binafsi niliwahi kuitwa nikataarifiwa kuwa hapo nilipokuwa nafanya kazi, ameajiriwa MTz mwenzangu. Nikaenda upesi idara aliyopo na kufika tu Mimi nikamwaga Kiswahili. Nikaambulia mtu kujiuma uma na kucheka cheka. Kumbe naye alikuwa kama mwanzisha uzi, wamepita tu Tz, hata lugha haijui, ila huko wanajinadi ni WaTz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna ktu kama hcho,kila mwajiriwa anajulkana.huwez kufanya usanii lazma vtambulisho vinavyokutambulsha viusike.........
 
Umeenda kuzurura au kufanya kazi, mwaka 1 tu unajidai kuijua USA yenye time difference ya masaa 3, hebu acha utani
Kwn tatzo nn,new york nmeish,leo nko califonia miez mitatu.nashndwa nn kujua majera.marekani kama kijij kwny swala la usafir ndg.usifkr nko africa,..lcha n kubwa lakn miundombinu inaturaisishia kuona dunia kijiji
 
Labda Kwa njia hiyo naweza kukubaliana. Na wewe Ila kama watu wanaenda sehemu kutafta ukimbizi mfano kama sauza Africa,,Europe n.k
kama umejipeleka mwenyew inakua ngumu kuwambia kama wewe manzanita sabab Tanzania Haina Vita so inabid uongelee palipo navita booss ili upewe hifaz haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
N kwel unachokisema alafu,watu wasichukulie marekani kama nchi zngn,kuingia usa n process ndf na ngumu kuliko nchi zngn.....

Tofaut kabsa na mataifa mngn.
 
Be
Tuanze na hiyo bendera kwanza. Elezea kwa ufupi unavyoielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Bendera ya marekani ina mistari kumi na tatu ambayo inawakilisha majimbo kumi na tatu ya awali kabla ya kuwa majimbo 50

zile nyota inawakilisha majimbo 50 ya marekani

Rangi NYEKUNDU kwnye bendera ina wakilisha damu ya mashujaa waliokufa kupigania uhuru

NYEUPE ina maana ya AMANI

BLUE ina maanisha HAKI na KWELI
.......Japo kwa ufup ila umenielewa
 
Wanasema Shukran ya punda ni mateke. Mlitoka kwenu kuja Tz kwa wauza madawa sio? Umeenda kampuni gani kutafuta kazi wakakutaarifu kuwa WaTz hawana sifa nzuri?
Maana hata wa Nigeria licha ya kujulikana dunia nzima kwa utapeli, bado wanaajiriwa Marekani, maana hamna mtu anayeulizwa umetoka nchi gani, una ujuzi/ uzoefu hiyo ndiyo inayoangaliwa.
Unajua EOE kwenye ajira za Marekani? Je wanakuuliza umetokea wapi?
Acha majivuno!

Sent using Jamii Forums mobile app
marekani huwez ajiriwa kiolela hata huwe muosha vyote lazma wakutambue kwa vtambulsho ndg.hata kupanga nyumba lazma vitambulisho hata matibabu.hvi unajua sababu za mtu kuwa na kadi ya social security card.najua ukijua maana yake uwez kuongea hayo unayosema

Hakuna sehema nlijutia kuishi kama tanzania n bora nchi zngn kama vle zmbabwe,zambia,wakilbiz wako huru.kulko tz mkimbz haruhusiw kutoka kambn,harusiw kuendsha pkpk hata baiskeli,hawaruhusu kujenga soko au kufanya biashara vya aina yoyyote hata m pesa kambini haurusiw,
Hv nnaweza kufurahia nn au shukuran gan naweza kutoa kwa nchi ya tz.
Mbna mataifa mngn hayawabani hvyo wakimbizi
Kutoka nchi ya tz kwangu nachukulia kama NEEMA ndg yng,husiombe ikakutokea labda kwny nch zngn,zambia,malaw,rwada wakimbizi wako Free
 
marekani huwez ajiriwa kiolela hata huwe muosha vyote lazma wakutambue kwa vtambulsho ndg.hata kupanga nyumba lazma vitambulisho hata matibabu.hvi unajua sababu za mtu kuwa na kadi ya social security card.najua ukijua maana yake uwez kuongea hayo unayosema

Hakuna sehema nlijutia kuishi kama tanzania n bora nchi zngn kama vle zmbabwe,zambia,wakilbiz wako huru.kulko tz mkimbz haruhusiw kutoka kambn,harusiw kuendsha pkpk hata baiskeli,hawaruhusu kujenga soko au kufanya biashara vya aina yoyyote hata m pesa kambini haurusiw,
Hv nnaweza kufurahia nn au shukuran gan naweza kutoa kwa nchi ya tz.
Mbna mataifa mngn hayawabani hvyo wakimbizi
Kutoka nchi ya tz kwangu nachukulia kama NEEMA ndg yng,husiombe ikakutokea labda kwny nch zngn,zambia,malaw,rwada wakimbizi wako Free
Ni kweli, Ukilinganisha Tz na US, ni neema kwako kuwa US.. Sikupinga hilo, wala hali ya wakimbizi waishio nje ya Tz.
Lakini ukionesha kuwa huna lolote la kushukuru Tz, hiyo Inaitia ukakasi, licha ya kwamba sikulazimishi, ni hulka ya mtu binafsi.
Nilichopinga ni ulivyosema rekodi ya MTz huko USA sio nzuri, kujihusisha madawa ya kulevya n.k.
Huajiriwi au kupangisha kiholela huko US (wa Mexico kibao wanafanya hivyo) ndivyo utaratibu wao, wa Tz ilikuwa ni kuwadhibiti wakimbizi kutokufanya yote uliyoyaeleza. Ukiacha wakimbizi watoke kambini au wafanye biashara, wakati huna jinsi ya kuwafuatilia popote walipo, kwa yeyote mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo.
Kupewa social security card, green card na baadae pasi ya kusafiri ukiwa raia wa US, ni jinsi ya kukudhibiti kila ufanyalo. Tz hatukuwapa hayo kwa kuwa mlikuwa njiani kwenda popote kwenye neema. Mlivyofika Marekani, hamkuachiwa kwenda mitaani tu bila utambulisho wowote, mnadhibitiwa kwanza kwenye mifumo wao, halafu ndio unaruhusiwa kufanya shughuli zako.
Tz pia ndicho walichofanya, na nchi yoyote yenye serikali/ utawala ndivyo ifanyavyo.
Kila la Kheri katika maisha ya neema huko Marekani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana siulizi chochote manake hauna unachojua hata kuandika hujui ngoja nitoke tu hum sio msaada xhit"
 
Back
Top Bottom