Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

Sawa mm nna $70 kazini kwangu naenda na gari nnamebadl gari 3 tangu nifike marekani
Nnatumia lptp ya $1,699 jana nmenunua cm 899$
Cjawah fkria njaa

Huoni nko tofaut nae.lptp yang n mshahara wake wa mwaka.shuleni anaenda kwa daladala.[/QUOTE]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
We muongo Tu, huna lolote. Laptop gani yenye bei hiyo. Tena Marekani.
Cwez kukulaumu ndugu kwa vile nimekuelew sina tatizo na wewe nimeshakuelewa.

Labda nikusaidie tu laptop zipo aina nyingi sana mwaka jana kuna simu ilikuwa inafanyiwa matangazo kwenye tv.niliipigia hesababu inafika milioni 32 ya shingili na hiyo ndo simu.
Hata mtu akakuambia kuna computer ya dolar elfu kumi na kuendelea usishangae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nauliza njia nzuri za kuja huko ni zipi?


Sent from my iPad using JamiiForums
Njia nzuri ni kuja kihalali,
Unawezakufika marekani mfano unakutana na raia mwanamke akakupnda anaweza kukufanyia process za vitambulisho na uwz kaa miaka mi tano hujawa raia wa marekan ila cjakushaur ufanye hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhm mwandiko tutakuwa tupo wote huku Matombo,Morogoro
N kweli na ndege nliochukua kutoka dar hadi matombo,morogoro ticket yake hiyo hapo
20190308_165454.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekwenda US mara mbili 2011 NewYork na 2018 Seattle mara zote napewa Visa ya mwaka mmoja lakini nikifika wiki mbili naziona mwaka homa ya kurudi nyumbani inanipanda.

Nyie bongo kutamu 🤣
 
mku au tukuulize rangi za bendera, vivutio vyao vya utalii, wanamuziki na filamu wao au michezo yao maana maswali lonki hauna majibu.
ok vipi upatikanaji wa ganja pande hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom