Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

Nimekuambia ukwel.mtz maneno mengi sana Ila Hana actions alafu muoga.wakenya wako vizr wanaku very serious na mambo yao, MTZ mwambie sasa acopy na kupaste mzk wake utaukubal tu
subr Beyoncé atembee uchi na ww ufany hvyo maana nawakubal kwa mambo hayo,,,,,,kwa hal hiyo cjuw lin TANZANIA ya viwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
O
Jamaa kiazi sana. Yaani jinsi anavyo jibu hayo maswali unatambua kabisa hamna kitu kabisa

MGC
Mbona anajibu vizuri Tu , swali gani kajibu Vibaya ?
 
Nmetokea DRC nmeish kma mkimbizi tz

Nilibahat kuingia marekani kwa mpango wa serekal ya marekani kuwachukua baadhi ya wakimbz nchini Tanzania.

mchakato huo na Maelezo ya kuomba hifadhi marekani ufanyka kwa Siri kwaiyo si vyema kuzianika hapa.

Swala la kumsaidia mwingine anawezaje kuingia marekani ni kinyume na Sheria
So,inategemea kila mtu na maombi yake maana c vyema kufanya ujanja kuingia USA
Labda Kama vile mm nnaweza kumuitaji mtu na nkaanza kumfanyia mchakato nikiwa huku.kwa njia hiyo bora na nzuri ila inaitaj uvumlvu na Kuna njia ya kutumia pesa ila hakikisha vtambulisho vya kuingia nchini marekani anavyo.






Sent using Jamii Forums mobile app
Merci,je en Rio de Janeiro des hier

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio scholarship ila n makazi mapya yaan kuanza Maisha mapya
Na hatimae kuomba uraia

Mafankio Moja wapo n kufanya Kaz nzur inayonlpa na nmekuwa tengemeo kwa ndg na marafiki weng walioko Africa

Saiv nachukua kozi za kupata GED ambayo itaniwezesha kusoma ktk vyuo vya marekani

Natarajia kupata GREEN CARD n.k.....


of course life iko vizuri.maisha niliokuwa nayaota ndotoni ndo hata nnayoishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Félicitations

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nliambiwa hayo yote kabla ya we ndg.hayo huwa maneno tu,nafanya nnachokitaka mrad tu nsivunj Sheria...hta nktaka kurud Africa Leo inawezekana nko huru kwa kla ktu

Tz ukivaa tu cheni ya bendera ya Kongo unaaza kuulizwa ww mkongo?

mh wabongo shikamo

Marekan Hata bendera ya NCHI yko uvae sio tatzo...hta ujivunie uraia wako hakuna wa kukuhulza et wewe n Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Que ancien ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maisha hatulingani wewe umepelekwa USA Mimi nipo Sweden kwa pesa na viza yangu mwenyewe,utanilinganisha VP sasa na wewe upo chini ya shirika la ukimbizi!!kila kitu unapewa bure kama Demu,unajua gharama za tiketi ya ndege!?unajua watu wanapata vipi viza!?bora ukae kimya tu,hujui chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Formiddag! UpO mitaa gan Sweden mkuu
Mm nilifika Malmo mwaka Jana Ila nipo Germany


Sent using Jamii Forums mobile app
 
HELLO TANZANIA
habari zenu Wana JR na TANZANIA
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu

Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani

mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA


Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Je radio ziko kama huku masafa ya FM au unalipia? Luninga malipo yake yakoje kwa mwezi? Gharama za simu kupiga au SMS zikoje huko na umeme ni luku kama huku au mfumo ukoje huko? Nisaidie niyajue hayo mdau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HELLO TANZANIA
habari zenu Wana JR na TANZANIA
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu

Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani

mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA


Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasap maniga, upo marekani mwakamzima umeshindwa ku edit hiyo JR iwe JF?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali langu moja tu.

Kwanini Wakongo, wanyarwanda, Warundi na baadhi ya Waganda mnapenda kujiita Watanzania hadi mmeharibu taswira ya Mtanzania mkiwa nje ya nchi??????????????????????????????
 
Swali langu moja tu.

Kwanini Wakongo, wanyarwanda, Warundi na baadhi ya Waganda mnapenda kujiita Watanzania hadi mmeharibu taswira ya Mtanzania mkiwa nje ya nchi??????????????????????????????
Hamna kitu kama hicho boss kila mtu yupo proud na alipo tokeaa,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom