Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

Ukiwa marekani unatakiwa na kadi ya kuruhusiwa kufanya Kaz nchini marekani huwe na kadi ya kurekod mwenedo wa Maisha(social security)

Marekani Kuna Aina tati za kaz
Entry job(Kama kuosha vyo) malipo kwaiyo saa na inatemea Ila inaanza na Dola 7-10 na kuendl

Skills job(Kama vile fundi Bomba) kwa saa 25 na kuendl...na
Na profession(Kama vile doctor kwa mwaka....

Na zote zinatemeana.ni ngumu kuandka vyot nnatakiwa kujb wngn

Marekani Maisha ni bidii yako ya Kaz maana Kaz n nyng

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuish bla vbal n Sawa na mfungwa,na muombe mungu Sana husiugue,husitafut kz,au kupanga nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.ukizamia huko I mean uanze kuishi bila vibali changamoto za maisha zikoje kazi, huduma etc
2.je wastani wa kipato kwa mwezi kwa kazi za hapa na pale ni kiasi gani na unaweza kusave kiasi gani?
3.je ukioa huko Inakuweze kupata haki zipi za kuishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swapi sio langu ila ukzamia huko bila vibali lazima ule mbatata za ice agents

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa marekani unatakiwa na kadi ya kuruhusiwa kufanya Kaz nchini marekani huwe na kadi ya kurekod mwenedo wa Maisha(social security)

Marekani Kuna Aina tati za kaz
Entry job(Kama kuosha vyo) malipo kwaiyo saa na inatemea Ila inaanza na Dola 7-10 na kuendl

Skills job(Kama vile fundi Bomba) kwa saa 25 na kuendl...na
Na profession(Kama vile doctor kwa mwaka....

Na zote zinatemeana.ni ngumu kuandka vyot nnatakiwa kujb wngn

Marekani Maisha ni bidii yako ya Kaz maana Kaz n nyng

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwandiko wako umeyeyusha maswali yangu yote,unaandikaje hivyo?Upo Marekani lakini unaanndika utadhani upo darasa la nne A Chato Primary School!
 
Back
Top Bottom