Majamaa wenyewe ni mapolisi simtimes na USALAMA WA TAIFA sasa wewe sogeza kwato utaona hahahah
Mwenzako kanogewa...
Unataka ushahidi uwepo sio?
Mmmh! Inaonekana research yng inaanza kupata majibu! Ngoja nijaribu tena kwa huyu mdada!Lushoto ndio mji pekee ambao nilikaa wiki bila kuona hata dada poa mmoja. yaani sikugegeda wk nzima. Inaelekea wameshika dini sana watu wa Lushoto. hongereni kwa hilo.
Ningependa kutembelea Ushoto kwa Wagosi wa kaya wenyeji niambieni je gari isiyokuwa na 4w inaweza kufika huko,vipi lodges za bei nafuu lakini nzuri kuanzia malazi,chakula.......
Karibuni wadau wa Jf uliza ujibiwe kuhusu wilaya ya Lushoto na maeneo yake. Hii ni moja ya wilaya nzuri kabisa ndani ya mkoa wa Tanga. Karibuni...
CC: mshana jr
Nasikia ukioa Msambaa wa Lushoto ndoa haijunjiki.
hafu ni kweli wanawake wenu wanatahiriwa wakati wa kuzaa mtt wa kwanza ?
Lushoto ndio mji pekee ambao nilikaa wiki bila kuona hata dada poa mmoja. yaani sikugegeda wk nzima. Inaelekea wameshika dini sana watu wa Lushoto. hongereni kwa hilo.
Ningependa kutembelea Ushoto kwa Wagosi wa kaya wenyeji niambieni je gari isiyokuwa na 4w inaweza kufika huko,vipi lodges za bei nafuu lakini nzuri kuanzia malazi,chakula.......
hakuna mbondei lushoto...wenyeji wa wilaya hii ni Wasambaa
una mjua Chinga One wa jf? ana ishi maeneo gani pande za lushoto?
Je, ni kweli watoto wa kisambaa huegemea upande wa mama zaidi yaani wajomba kuliko mababa wa kubwa,wadogo na mashangazi.