Niulize chochote kuhusu Lushoto

Niulize chochote kuhusu Lushoto

Status
Not open for further replies.
Baridi vipi maana ile nchi ina baridi kama kuzimu Hasa lile la ukungu but all in all ile nchi ni green throughout...

baridi lipo kama kawaida...Lushoto imebarikiwa sana nadhani mwenyewe umejionea kipindi ulichokuwepo
 
Kama auamini nenda pale iwe mchana au usiku ingia mule alafu utanipa majibu

Ngoja nikipata nauli na muda ntakuja lakini tutawasiliana uje unieskoti ila wakinikamata we unakimbia.Upo!

The point is,nataka mtu atayeujua ukweli juu ya kupotezwa kwangu na hao jamaa preferably awe mwenyeji wa eneo hilo.
 
Unataka ushahidi uwepo sio?
 
Kuna jamaa angu alikuwa anaitwq Mandingo hapo lushoto kwa sasa yupo nje ya Nchi sio wewe kweli? Mandingo
 
Last edited by a moderator:
Majamaa wenyewe ni mapolisi simtimes na USALAMA WA TAIFA sasa wewe sogeza kwato utaona hahahah

Back
Top Bottom