REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
si kweli...hayo ni maneno tuu ya kuambiwa.
nimeka hapo balaa tu
si kweli...hayo ni maneno tuu ya kuambiwa.
Kuna jambo hamjaligusia kama inavyojulikana kwa tanga mjini mgeni yyte aliyefika lushoto harud leo mara nyingi makanbila mengi waliofika pale kwa kuajiriwa hununua viwanja na kuufanya mji huu kuwa mother land yao asiyejua lushoto pia hujulikana kama switzealand of africa kwan wagen kutoka ulaya ndio wamejaa mjini kwa matembez kuliko wasambaa wenyewe na pia ina hoteli za nyota tano na zenye mandhari za kuvutia zilizozungukwa na uoto wa asili kushinda hata baadhi ya mikoa mikubwa nna mengi sana ya kufunguka kuhusu lushoto ngoja kwnza nkachek mechi...
basi zile za kagogo zilishajifia
Lushoto sehemu gani mkuu?
Hivi kwa nini ulinzi Ni mkali Sana pale au Kuna nani/nini kinalindwa 24hrs?
Lushoto ni kuzuri kwa kweli cwezi fananisha na wilaya nyingine yoyote hapa tz
Shambalai ndio amebaki maana hata Mbaruku basi zake zilikufa
nikija ntakutafuta.. me ni karibia na mitaa ya kitivo..na wewe ni kachero?
mkuu kweli unaifahamu lushoto nje ndani..big up