Niulize chochote kuhusu Lushoto

Niulize chochote kuhusu Lushoto

Status
Not open for further replies.
Lushoto ni pazuri sana. Nitarudi tena na tena Lushoto. Kunaliwaza sana hasa ukiwa na mastress yako ya huku mijini.
Nimeskia hayati Nyerere, walipojaribu kumpindua, alienda kutuliza mawazo Ikulu ya Ushoto. Natamani sana kuiona ila hayo ya korodani yamefanya niwaze mara mbilimbili.

Lushoto ni wachapakazi. Japo milimani ila kumelimwa sana tu. Na ukiwa Tanga mjini, ukiacha wahindi na waarabu, washambaa nao wanamiliki uchumi kwa kiasi kikubwa tu. Big up Shehoza wa malori na wengineo... Huku Arusha biashara ya teksi wameikamata hasa. Ah... karibu ningesahau.... nao kwa totoz wamo!! (on a light note)

hahaa karibu tena...
 
Ndo hiyo Irente mkuu. Pia nimeshuhudia shamba lake jirani na la Mullers. Pazuri sana.
Viongozi wengi sana wamekamata ardhi kubwakubwa huko Lushoto.
Laiti wangejibidisha kuyaendeleza kama Mkapa (mashamba makubwa ya kisasa yenye mahoteli, etc.), Lushoto itakua sehemu nzuri sana kwenda kula bata.

Sana mkuu...
 
Wabondei asili yao ni wilaya ya Muheza.

Wabondei ni ndugu wa karibu sana na wasambaa na chifu Kimweri alitawala hadi bonde. ndie yeye aliyewapa wazungu wajenge pale magila penye mawe akidhani anawakomoa wazungu. kumbe mawe ni zana ya ujenzi kwa wazungu. wabondei ni watu wa mlango wa tisa ndio maana mpaka leo hii hakuna MBONDEI TAJIRI. kama kuna unaemuhisi basi amechangia damu. lakini hakuna mbondei tajiri hata mwenye mabasi zaidi ya matano hakuna. wanaishia vi fuso. mark two na corolla. hata mwenye ggorofa Kariakoo hakuna. kama yupo mtaje. wengi wao walisoma zamani lakini wakipata kazi hawarudi bonde. Utawasikia wakisema PAPA KIDA MIE. Wakati papa ndio mboga yao ya asili. UKIOA MBONDEI IMEKULA KWAKO
 
Ila kwa makabila ya Tanga wao ndio walioenda shule ila naona sasa hivi wanarudi kwao nimeona Adadi Rajabu,marehemu Jaji Makame wamejenga kwao.
 
Wanajenga nyumba za kufia tu. wanaogopa uvhawi kama nini. Sehemu yenye wachawi wakali africa mashariki na kati ni bonde ila hawatangazi. ukiwa na kesi aina yoyote ni PM nikuelekeze.
 
duuh....
 
Nasikia kule milimani Magoroto ndio noma.
 
Ila kwa makabila ya Tanga wao ndio walioenda shule ila naona sasa hivi wanarudi kwao nimeona Adadi Rajabu,marehemu Jaji Makame wamejenga kwao.

Wewe nitajie tajiri angalau mmoja tu wa kibondei. usinitajie mtu mwenye Harrier au mark two au four runner au RAV 4 hii haswa ndio gari ya kibondei na mark two au chaser au fuso. Nataka tajiri mwenye gorofa kuanzia tano au scania tano au basi tano n.k
 
Nilikunywa castle lite baridi pale Lushoto mwezi wa saba kila mtu alikua ananiuliza kwetu wapi. Nikawaambia kwetu tunapiga supu ya makongoro ya kitimoto. walinishangaa sana. eti wao kongoro ya kkitimoto wanatupam
 
Mimi ni mtu wa Sinza. mambo ya kutongoza na miadi na ahadi za njoo kesho. hatukuzizoea Africa sana na Meeda wametuharibu. nalipa napiga naendelea mbele
Akili yako ndogo sana unavyojiona kukaa Sinza ndo kukufanye usijue kutongoza! Kama huwezi haijalishi unakaa wapi hata kama ukikaa Buguruni, au uwanja wa fisi huwezi huwezi tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom