CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Nasikia ukioa Msambaa wa Lushoto ndoa haijunjiki.
hafu ni kweli wanawake wenu wanatahiriwa wakati wa kuzaa mtt wa kwanza ?
wasambaa hawajifichi utawajua kwa maneno yao na maandishi yao
Nasikia ukioa Msambaa wa Lushoto ndoa haijunjiki.
hafu ni kweli wanawake wenu wanatahiriwa wakati wa kuzaa mtt wa kwanza ?
Akili yako ndogo sana unavyojiona kukaa Sinza ndo kukufanye usijue kutongoza! Kama huwezi haijalishi unakaa wapi hata kama ukikaa Buguruni, au uwanja wa fisi huwezi huwezi tu
hakuna mbondei lushoto...wenyeji wa wilaya hii ni Wasambaa
Atakua anao tu maana kijana wangu Yule namjua mwenyewe.
Kijana unatoa mambo nusunusu kwanini? Makabila ya Lushoto ni mengi baadhi ni Wasambaa, Wabondei, Wapare, nk hivyo ukisema wenyeji ni kabila moja tu sikubaliani na wewe
Ndo hiyo Irente mkuu. Pia nimeshuhudia shamba lake jirani na la Mullers. Pazuri sana.
Viongozi wengi sana wamekamata ardhi kubwakubwa huko Lushoto.
Laiti wangejibidisha kuyaendeleza kama Mkapa (mashamba makubwa ya kisasa yenye mahoteli, etc.), Lushoto itakua sehemu nzuri sana kwenda kula bata.
mmeweka topic ili mjadili kisambaa? si mkaongelee kwenu? hapa si kwenu!mosie ghamba du utetoighwa kiatu.
msambaa wakorogwe kazaliwa korogwe na wa lushoto kazaliwa lushotohivi mkuu kuna tofauti gani kati ya msambaa wa korogwe na wa lushoto.
wasambaa hawajifichi utawajua kwa maneno yao na maandishi yao
mmeweka topic ili mjadili kisambaa? si mkaongelee kwenu? hapa si kwenu!
mnanikumbusha enzi zangu vitongoji coast mabugai malay camp dochi bado vipo ?
msambaa wakorogwe kazaliwa korogwe na wa lushoto kazaliwa lushoto
hujakoseaLazima ulisoma gambian wewe
hujakosea