enzi za mananga na dimoso na sabosoenzi za singano au?
enzi za mananga na dimoso na sabosoenzi za singano au?
Kaka umempatia huyu mburula hata kaa akuulize swali la kimburula tena. Eti torfauti ya mtu wa Korogwe na mtu wa Lushoto ni nini ? what a question ?
Nasikia hiyo wilaya inaongoza kwa kuzalisha panya wengi na viroboto, toa maelezo
Wanajenga nyumba za kufia tu. wanaogopa uvhawi kama nini. Sehemu yenye wachawi wakali africa mashariki na kati ni bonde ila hawatangazi. ukiwa na kesi aina yoyote ni PM nikuelekeze.
karibu sana
Irente ni eneo lenye hôtel nyingi ikiwemo ya mkapa ila si kwamba mkapa anamili irente, hâta wewe kama unataka kiwanja irente unapata ila vimevamiwa sana na wahindi asaiv
Naomba picha ya nyumba ya Mzee UWAZI na UKWELI. Muonekano wa mbele.
muamu ni mgheni
enzi za mananga na dimoso na saboso
siku zote hizo tunaiita hata hawiivi umekua nnkiwi siku hizi mosieNimemiss good times kwenye hii thread sijui nimechelewa wapi wallah
siku zote hizo tunaiita hata hawiivi umekua nnkiwi siku hizi mosie
pole mkuu nimeona mjumbe mmoja anagusagusa kwenye kauzi fulani kuleeeKuna mambo mabaya yalitokea hapo katikati wee acha tu
pole mkuu nimeona mjumbe mmoja anagusagusa kwenye kauzi fulani kuleee