JONASON
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 461
- 706
kwanini view point wanashika kiingilio hadi kwa wazawa na pia kwanini vijana wa huko wengi ni wavivu wanapenda mapenzi tu mm nimekaa huko hadi primary nilisoma Hazina Alafu ni kweli kuwa raisi Kikwete alikaa kota za Hazina enzi hizo na wazazi wake wakiwa watumishi wa serikali?