Niulize chochote kuhusu Lushoto

Niulize chochote kuhusu Lushoto

Status
Not open for further replies.
Wenyeji wa Wilaya hii ni Wasambaa 'wagosi wa ndima' ni wilaya ambayo ipo katika milima ya usambaa, hali ya hewa ni baridi kipindi kikubwa cha mwaka, na kunalimwa sana mazao mbalimbali kama mahindi, makabichi, matunda aina mbalimbali, viazi nk

Kijana unatoa mambo nusunusu kwanini? Makabila ya Lushoto ni mengi baadhi ni Wasambaa, Wabondei, Wapare, nk hivyo ukisema wenyeji ni kabila moja tu sikubaliani na wewe
 
Mimi ni mtu wa Sinza. mambo ya kutongoza na miadi na ahadi za njoo kesho. hatukuzizoea Africa sana na Meeda wametuharibu. nalipa napiga naendelea mbele

kwani watu wa sinza ndio hawatongozagi? au kwa kuwa malaya ni wengi kuanzia san ciro mpk ambiance
 
Kijana unatoa mambo nusunusu kwanini? Makabila ya Lushoto ni mengi baadhi ni Wasambaa, Wabondei, Wapare, nk hivyo ukisema wenyeji ni kabila moja tu sikubaliani na wewe

hakuna mbondei lushoto...wenyeji wa wilaya hii ni Wasambaa
 
kwani watu wa sinza ndio hawatongozagi? au kwa kuwa malaya ni wengi kuanzia san ciro mpk ambiance

Acha nikuelimishe. Kuna watu wanaopenda wake za watu. hawa lazima watongoze au watumie kuwadi. Kuna wanaopenda loose ball aka manungayembe aka michepuko hawa nao lazima wafanywe ATM na watongoze na watumie ngarama za kugegedea gesti. Kuna sisi ambao hatutaki relationship na ndio tulio wengi. unagonga mnaachana hata akikuona kesho hawezi kukuomba bia wala soda. Halafu sisi hatuna gharama ya ggesti. kwenye gari au chochoro na Sinza ziko nyingi. mnatandika box mambo yanakwenda.We differ. nimeona mbunye ni ile ile kwanini complications.
 
Huko Lushoto kuna nini cha zaidi cha kujivunia au ambacho kinapatikana kwa wingi kuliko sehemu nyingine...., kuna fursa zozote ?
 
Mwenyewe nimeoa Lushoto. nawaheshimu sana hawa jamaa kwa kunipa jjiko zuri na lenye heshima kupitiliza.

Mimi mwenyewe upande wa mama ni msambaa wa kwetonge -Mashewa Korogwe ila kwa wewe Bategereza hatuna shemeji.
 
hakuna mbondei lushoto...wenyeji wa wilaya hii ni Wasambaa
hapo ndipo ulipokosea, wasambaa ni mchanganiko wa makabila mbali mbali waliosambaa katika milima ya usambara baada ya kuhama sehemu zao na kwenda usambaani kwenye ardhi yenye rutuba,
mwanzoni kabisa kabla ya milima ya usambara kuvamiwa na binadam, kulikuwa na msitu mkubwa uliosheheni kila aina ya wanyama na ndege wa kila namna, walikuwepo simba, tembo na wanyama wengine wengi sana,
wambugu ni kabila la kwanza kuhamia milima ya usambara wakitokea arusha ambako walipigana na jamii nyingine ya wamasai, wambugu walipofika moshi na mifugo yao walifukuzwa na walipofika upareni walifukuzwa na wapare ndipo walipohamia milima ya usambara, makabila mengine yaliofika lushoto ni wazigua, wabondei, wapare na wakenya toka taita ndo maana kuna wasambaa wanatumia jina la ukoo WATAITA, Kimweri alitokea handeni na akaja kuwa mtawala wa maeneo yote ya lushoto Enzi hizo japo kiukweli kimweri si wakwanza kufika lushoto, wasambaa wanaojiita WAKILINDI (mimi mmojawapo) tumetokana na kizazi cha chief Kimweri, ambapo asili ya jina wakilindi ni kwamba baba yake kimweri ana asili ya bara asia japo yeye alizaliwa na mama mwafrika mzigua ndo maana wakilindi ni watu weupe sana coz ni machotara wenye asili ya kiarabu.
CC. Elli , MANI , Paloma , mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Weka picha kiongozi.

Ikulu ya Lushoto ni nyeti sana huwezi kuona picha yake. papaa iko katikati ya msitu na hawa jamaa choma choma wakikuona unaikaribia watakukamata na mpaka uwaconvince kwamba huna nia mbaya utakua huna korodani. wale wa kule ni wale wa Nyerere hawajakua diluted kama waliomshughulikia Ulimboka
 
Acha nikuelimishe. Kuna watu wanaopenda wake za watu. hawa lazima watongoze au watumie kuwadi. Kuna wanaopenda loose ball aka manungayembe aka michepuko hawa nao lazima wafanywe ATM na watongoze na watumie ngarama za kugegedea gesti. Kuna sisi ambao hatutaki relationship na ndio tulio wengi. unagonga mnaachana hata akikuona kesho hawezi kukuomba bia wala soda. Halafu sisi hatuna gharama ya ggesti. kwenye gari au chochoro na Sinza ziko nyingi. mnatandika box mambo yanakwenda.We differ. nimeona mbunye ni ile ile kwanini complications.

asante mkuu...
 
Huko Lushoto kuna nini cha zaidi cha kujivunia au ambacho kinapatikana kwa wingi kuliko sehemu nyingine...., kuna fursa zozote ?

kuna vivutio vingi karibu ujionee ufanye utalii wa ndani...pia unaweza ukalima ardhi ipo yenye rutuba..kwa ufupi ni sehemu ambayo hutojuta ukija...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom