ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
Kuna maeneo inapatikana kwa urahisi kuna maeneo ni adimu
Asante mkuu si unajua wengine tunadumisha mila kwa vinywaji asili.
Kuna maeneo inapatikana kwa urahisi kuna maeneo ni adimu
hapo umempatia mkuu...
Mbona nilishataja Bulldog
Ikulu ya Lushoto ni nyeti sana huwezi kuona picha yake. papaa iko katikati ya msitu na hawa jamaa choma choma wakikuona unaikaribia watakukamata na mpaka uwaconvince kwamba huna nia mbaya utakua huna korodani. wale wa kule ni wale wa Nyerere hawajakua diluted kama waliomshughulikia Ulimboka
Nasikia lushoto kweme zinapatikana kwa wingi sana....Gharama za viwanja na mashamba zipoje lushoto?
Hakuna
Ikulu ipo mlimani afu kimyaa hadi raha
Je, ni kweli watoto wa kisambaa huegemea upande wa mama zaidi yaani wajomba kuliko mababa wa kubwa,wadogo na mashangazi.
Pombe ya boha inapatikana huko Lushoto.
Yule babu wa Garage bado yupo Meeda pale, unampa buku unapata boksi unagegeda kwa buku 5.
hahaha, hiyo ni ID ya mtu mwingine kabisa, jamaa hakuweka kituo, loh
kumbe na Mafkizolo nae mgosi?
Sisi wa Enzi hizo hivi lile disco letu green valley na hub club yapo?totoz za mazinde juu,kifungilo,shambalai,kongei gonga sana zile Enzi izo na mhuni mmoja alikua kinyozi sijui bado Suma yupo jamani???