Niulize chochote kuhusu Lushoto

Niulize chochote kuhusu Lushoto

Status
Not open for further replies.
Wenyeji wa Wilaya hii ni Wasambaa 'wagosi wa ndima' ni wilaya ambayo ipo katika milima ya usambaa, hali ya hewa ni baridi kipindi kikubwa cha mwaka, na kunalimwa sana mazao mbalimbali kama mahindi, makabichi, matunda aina mbalimbali, viazi nk

Asilia jina Lushoto limetokana wapi, na nini, lugha yao? (mfano wa enzi kiongozi,chifu,shujaa,Sta,nk)
 
Neno lushoto lina maana gani?

Wajerumani walipokuja Tanganyika walijenga Ikulu Bagamoyo. baadaye wakajenga ikulu ndogo Dar. na ikulu kubwa sana Lushoto. Mahali pale walipaita WILHEMSTAL. wasambaa walishindwa kabisa kutamka neno hili geni wakakatisha wakaita USHOTO. wasambaa kwenye LU wana ondondoa L wanabaki na U. waswahili wakajua wasambaa wanakosea hivyo wakaunga ile L na mji wa shemeji zangu ukabatizwa jina na LUSHOTO
 
Lushoto (German: Wilhelmstal, "William's Valley" named after Emperor Wilhelm II)

nimeipata kwa google, ngoja nikipata maana yake halisi na asili ya hilo jina nitarudi tena,
 
Wajerumani walipokuja Tanganyika walijenga Ikulu Bagamoyo. baadaye wakajenga ikulu ndogo Dar. na ikulu kubwa sana Lushoto. Mahali pale walipaita WILHEMSTAL. wasambaa walishindwa kabisa kutamka neno hili geni wakakatisha wakaita USHOTO. wasambaa kwenye LU wana ondondoa L wanabaki na U. waswahili wakajua wasambaa wanakosea hivyo wakaunga ile L na mji wa shemeji zangu ukabatizwa jina na LUSHOTO
aamen.
 
Lushoto ndio mji pekee ambao nilikaa wiki bila kuona hata dada poa mmoja. yaani sikugegeda wk nzima. Inaelekea wameshika dini sana watu wa Lushoto. hongereni kwa hilo.

Unapenda wanaojiuza acha udomo zege mbona ukitongoza wepesi tu hao unagonga
 
Ikulu hii ya Lushoto ni nzuri kuliko hii mnayofahamu hapa Dar japo ile ina zaidi ya miaka mia na ushee
 
Wajerumani walipokuja Tanganyika walijenga Ikulu Bagamoyo. baadaye wakajenga ikulu ndogo Dar. na ikulu kubwa sana Lushoto. Mahali pale walipaita WILHEMSTAL. wasambaa walishindwa kabisa kutamka neno hili geni wakakatisha wakaita USHOTO. wasambaa kwenye LU wana ondondoa L wanabaki na U. waswahili wakajua wasambaa wanakosea hivyo wakaunga ile L na mji wa shemeji zangu ukabatizwa jina na LUSHOTO

CC Zamiluni Zamiluni
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom