the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,632
- 3,104
Kama hivyoVP muda wa application-verfication tuliopewa ushapita nn maana kuna cheti nataka kufanya correction baada ya kutoka Rita kukiingiza bodi system inagoma
Kama hivyoVP muda wa application-verfication tuliopewa ushapita nn maana kuna cheti nataka kufanya correction baada ya kutoka Rita kukiingiza bodi system inagoma
Kama hivyoView attachment 1973182
Poa MkuuSubiri dirisha la appeal apo ushakwama mkuu
Hahahahaya magrupu ya chuo yanakuwaga na mademu kinoma. ngoja nijiunge
Chuo kipo iringa course ni miez sitaSamahani mkuu hivi vyuo gani apa Tanzania vina offer medical dispenser(ADDO) certificate na makadirio ya bei zake kwa mwaka
Kinaitwaje mkuuChuo kipo iringa course ni miez sita
Kwann mwaka huu mkopo ad tar ya Leo hawajato,kuna nn?
Kua na subiraKwann mwaka huu mkopo ad tar ya Leo hawajato,kuna nn?
Taarifa Zina ukweli kabisa..bodi lazma wafuatlie ufaulu wako..Kuna hizi sms za ma loan ofisa vyuoni kwamba kama un changamoto ya matokeo mfano sup na incomplete mkopo wako utachelewa maana matokeo yanatakiwa yatumwe bodi ya mikopo zina ukweli wowote?
maana nachoamini mkopo ni mkataba wako ww na bodi inakuwaje kwamba wengine wapate lkn ww kutokana na changamoto ya matokeo mkopo wqpo uchelewe mpk utakapoweka matokeo yako vzr sasa nauliza hili likoje mkopo ni mkataba wa mwanafunzi na bodi na siyo bodi pamoja na chuo.
mm nachofaham pesa zikija zinatakiwa ndani ya mwezi mmoja usaini usiposaini zinarudi bodi na wanaamini hyu mwanafunzi hayupo chuoni.
lkn hili la loan officer kusema kwamba ukiwa una sup na incomplete mkopo hautaingia kwa wkt hii ikoje???
SureTaarifa Zina ukweli kabisa..bodi lazma wafuatlie ufaulu wako..
Ndio maana wale wa supp wanachelewa kupata mkopo kwa sababu ya matokeo yao kuchelewa kutumwa bodi..
Ukiwa na incomplete haina shida maana hapo utakua umecarry..utalirudia Hilo SoMo kulingana na Sheria za chuo husika.
endrizzy loan board wanapeleka pesa za chuo ma chuoni then chuo ndio kinakuwekea mkopo wako kwa bank account. Sio? Je bank account yoyote Tu waweza fungua au kuna preferred banks.habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana
SUA.
UDSM
MZUMBE
UDOM
IFM
TIA
CBE
TIA
NIT
sio kweliNi kweli ukipata sup mpaka usapue ndyo uingiziwe hela za mkopo?
uko chuo kweli?Nina cary moj hv hawawez nikatia mkopo?
bank yeyote ila CRDB ni vizuri zaidiendrizzy loan board wanapeleka pesa za chuo ma chuoni then chuo ndio kinakuwekea mkopo wako kwa bank account. Sio? Je bank account yoyote Tu waweza fungua au kuna preferred banks.
kwa nn crdb ni nzur Zaid ?bank yeyote ila CRDB ni vizuri zaidi
Tumia bank mbili tu kama auta taka usumbufu NMB na CRDB
NMB ndio nai target so haina shida sio?Tumia bank mbili tu kama auta taka usumbufu NMB na CRDB