ashery pone
Member
- Jul 22, 2021
- 39
- 217
Ahsante sana mkuuSio kwako peke ako...account zote wametoa iko kipengele hapo ni kutulia tu.
Ahsante sana mkuuSio kwako peke ako...account zote wametoa iko kipengele hapo ni kutulia tu.
kwa kada ya afya slot ni chache hila sijajua kwa kada nyingine.Hii inahusu afya tu ama ni kozi zote??hapatakuwa na second round kwa kozi zote ama inakuaje mkuu???
Habari naomba kujua kama sijaaply chuo hadi sasa kunaweza kuwa na third phase? Nimeshindwa maana AVN yang bado sijapata (nikipata supplementary) so nimeambiwa bado rusubiri
Samahani mkuu,wakati naomba mkopo heslb niliambatanisha fomu ya ufadhili wa A-level... lakini leo nmeingia kwenye account yangu nmekuta nimeandikiwa sponsourship form not attached.Na nkijaribu ku attach tena naambiwa correction window closed.Je heslb watatoa tena muda wa kurekebisha?Sio kwako peke ako...account zote wametoa iko kipengele hapo ni kutulia tu.
Trh 21/9s
Samahani mkuu,wakati naomba mkopo heslb niliambatanisha fomu ya ufadhili wa A-level... lakini leo nmeingia kwenye account yangu nmekuta nimeandikiwa sponsourship form not attached.Na nkijaribu ku attach tena naambiwa correction window closed.Je heslb watatoa tena muda wa kurekebisha?
Ahsante sana mkuu.Trh 21/9
Tazara,tmk dsmMakao makuu ya HESLB yako wapi?
| PARAMETER | ATTACHMENT-VERIFIED | VERIFICATION | COMMENTS | ACTION REQUIRED |
|---|---|---|---|---|
| A-Level or Diploma Sponsorship Document | A-Level or Diploma Sponsorship Document | INVALID | Not Attached | CLICK TO CORRECT |
Kuna jamaa yupo huko alisema watafungua 21/9Msaada wakuu,wakati wa kuomba mkopo niliambatanisha fomu ya ufadhili wa A-level.Lakini leo nimeingia kwenye account yangu nmekuta notification kuwa Not Attached na nikajaribu kuclick to correct naambiwa correction window closed.Je,heslb watafungua dirisha labda nijaribu ku attach tena?
verification result
PARAMETER ATTACHMENT-VERIFIED VERIFICATION COMMENTS ACTION REQUIRED A-Level or Diploma Sponsorship Document A-Level or Diploma Sponsorship Document INVALID Not Attached CLICK TO CORRECT
nimeenda heslb leo wameniambia watafungua tareh 1/10Kuna jamaa yupo huko alisema watafungua 21/9
OK kila lakherinimeenda heslb leo wameniambia watafungua tareh 1/10
. Ndo allocation ya mkopo wanatoa sio?nimeenda heslb leo wameniambia watafungua tareh 1/10
Ahsante sana mkuuOK kila lakheri