Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

naomba kuuliza kuhusu TCU
kuna mtu mwaka jana alichaguliwa kwenye chuo kimoja lakin kutokana na changamoto mbali mbali alishindwa kwenda kufanya usajili
mwaka alipotaka kuomba tena aliingia kwenye ile akaunti ya kile chuo alichopata mwaka jana then akacancel admission kisha akaomba vyuo vingine lakin bado hajapata kwa awamu mbili zilizopita sasa wasiwasi wake ni kwamba anahis hajachaguliwa sababu labda jina lake bado lipo TCU, Je yuko sahihi hicho anachowaza na kama yuko sahihi ni hatua gani nyingine za ziada anazotakiwa azifanye maana ametuma maombi ya chuo round ya tatu na zimebaki siku chache selection zitoke?
 
Aombe kulekule
 
Njoo PM mkuu nikupe muongozo.
 
Kaka mimi nilikuwa nauliza kwa uzoefu wako kuhusu udahili wa vyuo ni hivi TCU wanaweza kuongeza siku kadhaa kwa ajili ya dirisha la nne .?
 
𝑴𝒌𝒖𝒖 𝒋𝒊𝒂𝒏𝒅𝒂𝒆 𝒌𝒊𝒔𝒂𝒊𝒌𝒐𝒍𝒐𝒋𝒊𝒂 𝒕𝒖 𝒉𝒂𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒏𝒂𝒎𝒏𝒂 𝑻𝑪𝑼 𝒖𝒅𝒂𝒉𝒊𝒍𝒊 𝒏𝒊 𝒂𝒘𝒂𝒎𝒖 𝒕𝒂𝒕𝒖 𝒕𝒖...
 
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana

SUA.

UDSM

MZUMBE

UDOM

IFM

TIA

CBE

TIA

NIT
Mkuu verifying vyeti vyenye makosa imekuja. Maana tumepewa siku nne toka Jana kufanya hivyo HESLB Sasa nimeshafanya marekebisho kwa mtandao. Je natkiwa ni print tena na niende posta nikawatumie kwa sanduku la posta ama haya marekebisho watayaona Tu kwa mtandao?
 
Kuna mtu aliaply mkopo last year akapata ila katika account yake ya bodi ya kikopo inaonesha anaweza kupata mkopo kwa miaka miwili tu yaaani mwaka wa kwanza na wapili ila watatu kuna dash (-) kwanini iko hivyo? Inaweza kuwa solved? Tuanzie wapi?
 
Mkuu verifying vyeti vyenye makosa imekuja. Maana tumepewa siku nne toka Jana kufanya hivyo HESLB Sasa nimeshafanya marekebisho kwa mtandao. Je natkiwa ni print tena na niende posta nikawatumie kwa sanduku la posta ama haya marekebisho watayaona Tu kwa mtandao?
hautumi tena posta,ukituma mtandaoni tu inatosha
 
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana

SUA.

UDSM

MZUMBE

UDOM

IFM

TIA

CBE

TIA

NIT
Naomba kuuliza ibi Ada ya st John ni Mil2 na nusu je selikari wanalipa kiasi gani st John university Dodoma kwa BS, in nursing?
 
VP muda wa application-verfication tuliopewa ushapita nn maana kuna cheti nataka kufanya correction baada ya kutoka Rita kukiingiza bodi system inagoma
 
Back
Top Bottom