Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

VP muda wa application-verfication tuliopewa ushapita nn maana kuna cheti nataka kufanya correction baada ya kutoka Rita kukiingiza bodi system inagoma
Kama hivyo
20211013_185033.jpg
 
Samahani mkuu hivi vyuo gani apa Tanzania vina offer medical dispenser(ADDO) certificate na makadirio ya bei zake kwa mwaka
 
Kuna hizi sms za ma loan ofisa vyuoni kwamba kama un changamoto ya matokeo mfano sup na incomplete mkopo wako utachelewa maana matokeo yanatakiwa yatumwe bodi ya mikopo zina ukweli wowote?
maana nachoamini mkopo ni mkataba wako ww na bodi inakuwaje kwamba wengine wapate lkn ww kutokana na changamoto ya matokeo mkopo wqpo uchelewe mpk utakapoweka matokeo yako vzr sasa nauliza hili likoje mkopo ni mkataba wa mwanafunzi na bodi na siyo bodi pamoja na chuo.
mm nachofaham pesa zikija zinatakiwa ndani ya mwezi mmoja usaini usiposaini zinarudi bodi na wanaamini hyu mwanafunzi hayupo chuoni.
lkn hili la loan officer kusema kwamba ukiwa una sup na incomplete mkopo hautaingia kwa wkt hii ikoje???
 
Taarifa Zina ukweli kabisa..bodi lazma wafuatlie ufaulu wako..

Ndio maana wale wa supp wanachelewa kupata mkopo kwa sababu ya matokeo yao kuchelewa kutumwa bodi..
Ukiwa na incomplete haina shida maana hapo utakua umecarry..utalirudia Hilo SoMo kulingana na Sheria za chuo husika.
 
Sure
 
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana

SUA.

UDSM

MZUMBE

UDOM

IFM

TIA

CBE

TIA

NIT
endrizzy loan board wanapeleka pesa za chuo ma chuoni then chuo ndio kinakuwekea mkopo wako kwa bank account. Sio? Je bank account yoyote Tu waweza fungua au kuna preferred banks.
 
Back
Top Bottom