Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

Hivi unaweza ripoti chuo ukiwa huna ile pesa ya kutanguliza ya ada kabla hujawekewa mkopo?
 
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana

SUA.

UDSM

MZUMBE

UDOM

IFM

TIA

CBE

TIA

NIT
vipi mtu kama alipata mkopo then mwaka wa pili aka disco, anaweza kuendelea kupata mkopo kama akianza upya chuo kingine au hicho hicho au ndo ntolee hyo maana dogo akili naona sasa ndo zimemkaa sawa
 
Hapana mkuu, baada ya chuo Kuthibitisha kuwa ume disco, hutoweza kupokea mkopo, utalazimika kuomba tena, na kama utataka kuomba tena utalazimika kulipa 25% parcent
 
Mbobezi, heslb wamezidisha deni kwangu yaan miaka ya nyuma sana niliomba chuo nikapangwa na mkopo nikapata lkn sikujiunga na chuo hicho na sikupata taarifa kama nimepata chuo na mkopo kipindi hicho ndio tcu ilikuwa inaanza anza kwa hiyo mambo yalikuwa shagharabaghara basi maisha yakaendelea
Baada ya miaka 2 nikaomba tena chuo nikapata lkn mkopo sikupata nilipofika chuo mwaka wa pili semister ya pili nikaapeal nikapata. Sasa kumbe kile chuo cha kwanza fedha ya chakula, ada ilirudishwa bodi lkn kuna fedha nyingine haikurudi bodi ikawekwa kwenye deni ninaloendelea kulipa hadi leo na sleep yangu ya deni inaonesha nimesoma vyuo viwili kwa miaka tofauti sana[emoji3][emoji3] sasa nimesha tuma email bodi, kutuma ndugu zangu walioko huko dar na vielelezo vya ushaihidi maana mimi niko kijijini sitimbi lkn mpaka sasa sijapata matokeo chanya.
Kuna jamaa tuko nae huku alikuwa na kesi kama yangu ye alimtuma shangazi yake anaeishi dar ye kufika bodi tu siku hiyo hiyo tatizo lake likawa solved kiasi cha fedha alichobambikiwa kikaondolewa
Sasa kiongozi nichukue hatua zipi zingine.
 
Mkuu, Je, ni taratibu zipi naweza kuzifuata ili kuhama chuo kwa sasa nikiwa mwaka wa kwanza kuhamia chuo kingine kuendelea mwaka wa pili?
 
Hapana mkuu, baada ya chuo Kuthibitisha kuwa ume disco, hutoweza kupokea mkopo, utalazimika kuomba tena, na kama utataka kuomba tena utalazimika kulipa 25% parcent
Nicheki WhatsApp 0759745422...Nina Maswal kdg.
 
Je mkopo wa chuo wanatoa kwa miaka mingapi mfano Mimi nisomea udactari wa miaka 5
 
Mbobezi, heslb wamezidisha deni kwangu yaan miaka ya nyuma sana niliomba chuo nikapangwa na mkopo nikapata lkn sikujiunga na chuo hicho na sikupata taarifa kama nimepata chuo na mkopo kipindi hicho ndio tcu ilikuwa inaanza anza kwa hiyo mambo yalikuwa shagharabaghara basi maisha yakaendelea
Baada ya miaka 2 nikaomba tena chuo nikapata lkn mkopo sikupata nilipofika chuo mwaka wa pili semister ya pili nikaapeal nikapata. Sasa kumbe kile chuo cha kwanza fedha ya chakula, ada ilirudishwa bodi lkn kuna fedha nyingine haikurudi bodi ikawekwa kwenye deni ninaloendelea kulipa hadi leo na sleep yangu ya deni inaonesha nimesoma vyuo viwili kwa miaka tofauti sana[emoji3][emoji3] sasa nimesha tuma email bodi, kutuma ndugu zangu walioko huko dar na vielelezo vya ushaihidi maana mimi niko kijijini sitimbi lkn mpaka sasa sijapata matokeo chanya.
Kuna jamaa tuko nae huku alikuwa na kesi kama yangu ye alimtuma shangazi yake anaeishi dar ye kufika bodi tu siku hiyo hiyo tatizo lake likawa solved kiasi cha fedha alichobambikiwa kikaondolewa
Sasa kiongozi nichukue hatua zipi zingine.
Kwanza waliwezaje kukupa mkopo while umesoma vyuo viwili tofauti, bila kuwalipa 25% kama sheria zao, zinavyosema?? Anyway case kama hio, ina sovika, kwa urahisi zaidi kama utafika pale ofisini kwao, TAZARA mambo ya Emails, na SLP yanapoteza sana mda mkuu
 
Sikusoma vyuo viwili tofauti mkuu nilisoma kimoja tu, nimeeleza vizuri tu hapo
 
Kwa matokeo haya : HGL - DCC division two points 10 naomba msaada akasome kozi gani chuo kikuu ni mtoto wa kike ! Natanguliza shukrani

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nisaidie kwa mtu aliesoma Kenya mpaka darasa la nane akitaka kuapply vyuo vya bongo anafanyaje na anaanzia wapi necta au tcu
 
Mimi nina diploma ya sheria nataka kuapply vyuo kozi tofauti na Law
Nashindwa kujua kozi zinazonikubali
 
Back
Top Bottom