Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

endrizzy

Senior Member
Oct 19, 2015
186
137
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana

SUA.

UDSM

MZUMBE

UDOM

IFM

TIA

CBE

TIA

NIT
 
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana
1.UDSM
2.UDOM
3.SUA
4.MZUMBE
5.IFM
6.TIA
7.CBE
8.DIT
9.MUST
10.MWALIMU NYERERE.
Kama mzazi wako ni muajiriwa sekta binafsi alaf pale kwenye fomu ukajaza mzazi wako ni peasant, vp kuna uwezekano wa bodi kugundua?
 
Hv ni lazima huu ujazaj wa form ukaenda internet cafe Au hata kwenye simu zetu janja unaweza tumia?
 
Ni lipi mwombaji anatakiwa kuanza nalo Kati ya kuomba vyuo vitatu then kifuate nini Kati ya TCU na HESLB,? Yaani mtiririko tuanzeje Kati ya Vyuo, TCU na HESLB.
 
Hv ni lazima huu ujazaj wa form ukaenda internet cafe Au hata kwenye simu zetu janja unaweza tumia?
kwenye simu unajaza fresh tu download camscaner piga picha document fresh tu
 
Back
Top Bottom