Taarifa na ushauri kwa wanaoomba kujiunga na kozi Vyuo Vikuu kwa mwaka 2019/2020

BAOBAO

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
1,874
547
Wakuu naomba tuhusike na kichwa cha habari hapo juu kwa kupeana taarifa na ushauri kama wadau wa Elimu ya juu. Asanteni kwa kusaidiana kama ilivyo mila na desturi Yetu wana Jukwaa hill.

================================================================

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2019/20

1.0 Utangulizi Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kutoa taarifa kwa Umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu kwamba maombi ya kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini kwa Shahada ya Kwanza yataanza rasmi tarehe 15/07/2019.

Ili kuhakikisha kuwa waombaji wa udahili wanapata taarifa sahihi na kwa wakati, Tume imeendelea kutoa elimu kwa umma kwa njia mbalimbali. Katika kipindi cha mwezi Juni na Julai, 2019.

Tume imefanikiwa kutembelea Kambi zote za Jeshi la Kujenga Taifa na kutoa elimu kwa vijana waliohitimu kidato cha sita wanaoshiriki mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Aidha Tume kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali iliandaa na kuendesha programu maalum ya elimu kwa umma kuhusu taratibu za udahili mjini Unguja na Pemba.

2.0 Utaratibu wa Maombi ya Udahili kwa Mwaka wa Masomo 2019/20

2.1 Makundi ya Waombaji Udahili wa kujiunga na Shahada ya Kwanza utahusu makundi makubwa matatu ya waombaji:
a) Wahitimu wa Kidato cha Sita;

b) Wenye Stashahada (Ordinary Diploma), au sifa linganifu; na

c) Waliomaliza Foundation Programme ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, na kupata G.P.A 3.0 au zaidi, na angalau daraja C kutoka masomo sita katika makundi mahususi ya Sanaa, sayansi na Biashara.

2.2 Utaratibu wa Kuomba Udahili
a) Maombi yote yanatumwa moja kwa moja kwenye vyuo muombaji anavyovipenda na kuchagua programu za masomo anazozipenda. Mwongozo wa programu zilizoidhinishwa kudahili na vigezo stahiki (Undergraduate Admission Guidebook for 2019/2020), unapatikana kwenye tovuti ya Tume ya vyuo vikuu Tanzania.

b) Maelekezo mahususi kuhusu jinsi ya kuomba programu ya masomo yanatolewa na vyuo husika.

2.3 Vigezo na Sifa za Waombaji Udahili.
Waombaji wote wanaelekezwa kusoma kwa makini vigezo vilivyooneshwa katika kitabu cha muongozo ili wajihakikishie
kwamba wanakidhi vigezo na sifa stahiki za udahili zilizoidhinishwa na Tume.

Muhtasari wa sifa za jumla umebainishwa katika jedwali Na. 1,2, 3, na 4 kwa kutazama katika pdf chini.

2.4 Mambo Muhimu ya Kuzingatiwa na Waombaji:-
a) Kusoma mwongozo wa udahili uliotolewa na TCU kwa makini na kuelewa kabla ya kuanza kutuma maombi yoyote ya udahili;
b) Kuingia katika tovuti za vyuo ili kujua taratibu za kutuma maombi ya kuomba udahili;
c) Kutuma maombi ya udahili moja kwa moja Vyuoni kupitia mifumo ya kielekroniki iliyowekwa na vyuo husika;
d) Kuwasiliana na vyuo moja kwa moja kupata taarifa za kina
kuhusu programu za masomo ili kujiridhisha kabla ya kutuma
maombi;
e) Waombaji wenye vyeti vilivyotolewa nje ya nchi ni lazima wawasilishe vyeti vyao Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) au Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ili kupata ithibati ya ulinganifu wa sifa zao kabla ya kuanza kuomba udahili;
f) Kuzingatia kalenda ya udahili iliyoidhishwa na Tume (Jedwali Na.5) ili kuepuka usumbufu usio wa lazima kwa kufungua pdf chini).

3.0 Tahadhari
Wito unatolewa kwa Waombaji wote endapo wanahitaji kupata
ufafanuzi wa jambo lolote linalohusu udahili, wawasiliane na vyuo husika moja kwa moja. Wanaweza pia kuwasiliana na TCU wanapohitaji maelezo ya jumla.

TCU inawaasa wananchi wasikubali kupotoshwa na watu wanaojiita mawakala au washauri wanaodai wanatoa huduma ya jinsi ya kujiunga na vyuo vya elimu ya juu hapa nchini.

Imetolewa na Katibu Mtendaji,
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania.
13 Julai 2019

==================================================

ORODHA YA VYUO VIKUU/TAASISI ELIMU YA JUU TANZANIA

1. Abdulrahman Al-Sumait University (SUMAIT) www.sumait.ac.tz

2. Aga Khan Univeristy (AKU) www.aku.edu

3. Ardhi University (ARU) www.aru.ac.tz

4. Catholic University of Health and Allied Science (CUHAS) www.bugando.ac.tz

5. Hubert Kairuki Memorial University (HKMU) www.hkmu.ac.tz

6. The International Medical and Technological University (IMTU) VIST

7. Kampala International University in Tanzania (KIUT) www.kiut.ac.tz

8. Mbeya University of Science and Technology (MUST) www.mustnet.ac.tz

9. Moshi Co-operative University (MoCU) www.mocu.ac.tz

10. Mount Meru University (MMU) www.mmu.ac.tz

11. Muhimbili University of Health and Allied Science (MUHAS) www.muhas.ac.tz

12. Muslim University of Morogoro (MUM) www.mum.ac.tz

13. Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology (MJNUAT) www.mjnuat.ac.tz

14. Mwenge Catholic University (MWECAU) www.mwecau.ac.tz

15. Mzumbe University (MU) www.mzumbe.ac.tz

16. Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) home

17.Open University of Tanzania (OUT) www.out.ac.tz

18. Ruaha Catholic University (RUCU) www.rucu.ac.tz

19. Sebastian Kolowa Memorial Universtiy (SEKOMU) www.sekomu.ac.tz

20 Sokoine University of Agriculture (SUA) www.sua.ac.tz

21. St. Augustine University of Tanzania (SAUT) www.saut.ac.tz

22 . St. John's University of Tanzania (SJUT) www.sjut.ac.tz

23. St. Joseph University in Tanzania (SJUIT) www.sjuit.ac.tz

24 State University of Zanzibar (SUZA) www.suza.ac.tz

25. Teofilo Kisanji University (TEKU) www.teku.ac.tz

26. Tumaini University Makumira (TUMA ) www.makumira.ac.tz

27. Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo) www.tudarco.ac.tz

28. The united African University of Tanzania (UAUT) www.uaut.ac.tz

29. University of Arusha (UoA) www.uoa.ac.tz

30. University of Bagamoyo (UOB) www.uob.ac.tz

31. University of Dar es salaam (UDSM) www.udsm.ac.tz

32. University of Dodoma (UDOM) The University of Dodoma

33. University of Iringa (UoI) www.uoi.ac.tz

34. Zanzibar University (ZU) www.zanvarsity.ac.tz

Tovuti ya tume ya Vyuo vikuu Tanzania kwa kubofya hii
http://www.tcu.go.tz/ kwa Maelezo ya ziada kwa wadau wa elimu ya juu hasa WANAOMBA kujiunga kozi mbalimbali.
 
Attachments

  • Final_2019_20_Undergraduate_Guidebook.pdf
    1.6 MB · Views: 55
  • Final__2019_20_Undergraduate_Guidebook.pdf
    1.8 MB · Views: 36
  • Admissions Almanac for 2019_2020_updated(1).pdf
    166.7 KB · Views: 34
  • INVITATION TO APPLY FOR ADMISSION INTO UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2...pdf
    308.9 KB · Views: 47
Wakuu naomba tuhusike na kichwa cha habari hapo juu kwa kupeana taarifa na ushauri kama wadau wa Elimu ya juu. Asanteni kwa kusaidiana kama ilivyo mila na desturi Yetu wana Jukwaa hill.

================================================================

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2019/20

1.0 Utangulizi Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kutoa taarifa kwa Umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu kwamba maombi ya kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini kwa Shahada ya Kwanza yataanza rasmi tarehe 15/07/2019.

Ili kuhakikisha kuwa waombaji wa udahili wanapata taarifa sahihi na kwa wakati, Tume imeendelea kutoa elimu kwa umma kwa njia mbalimbali. Katika kipindi cha mwezi Juni na Julai, 2019.

Tume imefanikiwa kutembelea Kambi zote za Jeshi la Kujenga Taifa na kutoa elimu kwa vijana waliohitimu kidato cha sita wanaoshiriki mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Aidha Tume kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali iliandaa na kuendesha programu maalum ya elimu kwa umma kuhusu taratibu za udahili mjini Unguja na Pemba.

2.0 Utaratibu wa Maombi ya Udahili kwa Mwaka wa Masomo 2019/20

2.1 Makundi ya Waombaji Udahili wa kujiunga na Shahada ya Kwanza utahusu makundi makubwa matatu ya waombaji:
a) Wahitimu wa Kidato cha Sita;

b) Wenye Stashahada (Ordinary Diploma), au sifa linganifu; na

c) Waliomaliza Foundation Programme ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, na kupata G.P.A 3.0 au zaidi, na angalau daraja C kutoka masomo sita katika makundi mahususi ya Sanaa, sayansi na Biashara.

2.2 Utaratibu wa Kuomba Udahili
a) Maombi yote yanatumwa moja kwa moja kwenye vyuo muombaji anavyovipenda na kuchagua programu za masomo anazozipenda. Mwongozo wa programu zilizoidhinishwa kudahili na vigezo stahiki (Undergraduate Admission Guidebook for 2019/2020), unapatikana kwenye tovuti ya Tume ya vyuo vikuu Tanzania.

b) Maelekezo mahususi kuhusu jinsi ya kuomba programu ya masomo yanatolewa na vyuo husika.

2.3 Vigezo na Sifa za Waombaji Udahili.
Waombaji wote wanaelekezwa kusoma kwa makini vigezo vilivyooneshwa katika kitabu cha muongozo ili wajihakikishie
kwamba wanakidhi vigezo na sifa stahiki za udahili zilizoidhinishwa na Tume.

Muhtasari wa sifa za jumla umebainishwa katika jedwali Na. 1,2, 3, na 4 kwa kutazama katika pdf chini.

2.4 Mambo Muhimu ya Kuzingatiwa na Waombaji:-
a) Kusoma mwongozo wa udahili uliotolewa na TCU kwa makini na kuelewa kabla ya kuanza kutuma maombi yoyote ya udahili;
b) Kuingia katika tovuti za vyuo ili kujua taratibu za kutuma maombi ya kuomba udahili;
c) Kutuma maombi ya udahili moja kwa moja Vyuoni kupitia mifumo ya kielekroniki iliyowekwa na vyuo husika;
d) Kuwasiliana na vyuo moja kwa moja kupata taarifa za kina
kuhusu programu za masomo ili kujiridhisha kabla ya kutuma
maombi;
e) Waombaji wenye vyeti vilivyotolewa nje ya nchi ni lazima wawasilishe vyeti vyao Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) au Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ili kupata ithibati ya ulinganifu wa sifa zao kabla ya kuanza kuomba udahili;
f) Kuzingatia kalenda ya udahili iliyoidhishwa na Tume (Jedwali Na.5) ili kuepuka usumbufu usio wa lazima kwa kufungua pdf chini).

3.0 Tahadhari
Wito unatolewa kwa Waombaji wote endapo wanahitaji kupata
ufafanuzi wa jambo lolote linalohusu udahili, wawasiliane na vyuo husika moja kwa moja. Wanaweza pia kuwasiliana na TCU wanapohitaji maelezo ya jumla.

TCU inawaasa wananchi wasikubali kupotoshwa na watu wanaojiita mawakala au washauri wanaodai wanatoa huduma ya jinsi ya kujiunga na vyuo vya elimu ya juu hapa nchini.

Imetolewa na Katibu Mtendaji,
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania.
13 Julai 2019

==================================================

ORODHA YA VYUO VIKUU/TAASISI ELIMU YA JUU TANZANIA

1. Abdulrahman Al-Sumait University (SUMAIT) www.sumait.ac.tz

2. Aga Khan Univeristy (AKU) www.aku.edu

3. Ardhi University (ARU) www.aru.ac.tz

4. Catholic University of Health and Allied Science (CUHAS) www.bugando.ac.tz

5. Hubert Kairuki Memorial University (HKMU) www.hkmu.ac.tz

6. The International Medical and Technological University (IMTU) http://www.imtu.edu

7. Kampala International University in Tanzania (KIUT) www.kiut.ac.tz

8. Mbeya University of Science and Technology (MUST) www.mustnet.ac.tz

9. Moshi Co-operative University (MoCU) www.mocu.ac.tz

10. Mount Meru University (MMU) www.mmu.ac.tz

11. Muhimbili University of Health and Allied Science (MUHAS) www.muhas.ac.tz

12. Muslim University of Morogoro (MUM) www.mum.ac.tz

13. Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology (MJNUAT) www.mjnuat.ac.tz

14. Mwenge Catholic University (MWECAU) www.mwecau.ac.tz

15. Mzumbe University (MU) www.mzumbe.ac.tz

16. Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) http://www.nm-aist.ac.tz

17.Open University of Tanzania (OUT) www.out.ac.tz

18. Ruaha Catholic University (RUCU) www.rucu.ac.tz

19. Sebastian Kolowa Memorial Universtiy (SEKOMU) www.sekomu.ac.tz

20 Sokoine University of Agriculture (SUA) www.sua.ac.tz

21. St. Augustine University of Tanzania (SAUT) www.saut.ac.tz

22 . St. John's University of Tanzania (SJUT) www.sjut.ac.tz

23. St. Joseph University in Tanzania (SJUIT) www.sjuit.ac.tz

24 State University of Zanzibar (SUZA) www.suza.ac.tz

25. Teofilo Kisanji University (TEKU) www.teku.ac.tz

26. Tumaini University Makumira (TUMA ) www.makumira.ac.tz

27. Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo) www.tudarco.ac.tz

28. The united African University of Tanzania (UAUT) www.uaut.ac.tz

29. University of Arusha (UoA) www.uoa.ac.tz

30. University of Bagamoyo (UOB) www.uob.ac.tz

31. University of Dar es salaam (UDSM) www.udsm.ac.tz

32. University of Dodoma (UDOM) https://www.udom.ac.tz

MAONESHO KWA VYUO VIKUU YAMEANZA

MAONYESHO YA TAASISI ZA ELIMU YA JUU NA VYUO VIKUU YAMEANZA JIJI LA DAR
 
Attachments

  • 14th HE Exhibitions_ Public Notice 14th_30_5_2019_Updated-1.pdf
    479.8 KB · Views: 23
kipindi kama hiki mwaka jana niliopoa mtoto mkali aliyekuwa amekata tamaa na usajili wa kuingia chuo I am just saying.
 
Ushauri tafadhali nimesoma EGM nna DDD course gan nzuri naweza soma ardhi na nikapata nafasi
 
Katika mwaka wa masomo wa 2019/2019 dogo wangu amebahatika kuchaguliwa kozi zaidi ya moja ambapo mojawapo ya hizo kozi ni Bachelor Of Science In Environmental Health Science aliyochaguliwa kujiunga pale Muhimbili University. Dogo wangu ameniarifu anataka kuiacha hii kozi ambayo alishaikubali (Accept) ambapo nimemwambia atulie kwanza kabla kufanya maamuzi yeyote kwavile muda bado ili niwaulize wajuzi wa hii fani juu ya prospect ya kozi husika. Wakuu wa JF hebu nielimisheni, mtu akisoma kozi tajwa hapo juu anaweza kuwa nani au kufanya nini (Profession) siku za mbeleni.

Ahsante
 
Jamani me naomba kuuliza nipo na mdogo wangu kafanya mtihani 2022 kapata ( D ) ya English, ( D ) ya Geography na ( D ) ya kiswahili Sasa kitu gan anaweza kusoma.
 
Back
Top Bottom