apologize
JF-Expert Member
- Jul 22, 2015
- 709
- 570
DUCE na MUCE ni branches za udsm so taarifa zote muhim zinatoka main campus kwny website ya udsm, ndio maana ht selection duce muce utaipata www.udsm.ac.tz na sio duce wala muce
hapo nimekupata mkuu
DUCE na MUCE ni branches za udsm so taarifa zote muhim zinatoka main campus kwny website ya udsm, ndio maana ht selection duce muce utaipata www.udsm.ac.tz na sio duce wala muce
Hivi we unajielewa kweli? Okey ngoja nkuulize kazi ya Daruso ni nini?...hako ka boom unakokapata unajua historia yake? Au unadhani serikali ilikurupuka tu mambo yakawa hvo, watu walipoteza chuo lakini wakitetea maslahi yako, katafute chanzo cha mgomo wa udsm 2011 ukishakijua ndio utajua majukumu ya kiongozi wako...NADHANI NA WEWE NI MMOJA WA VIONGOZI MLIOTUKIMBIA WAKATI WA MGOMO PALE CHUO, POOR YOU.
The problem is that you're so insecure young guy(sorry to say so) You're directing your accusations to a wrong organ. Yaani kama kweli unaamini DARUSO wana uwezo wa kukupigania ukaongezewa boom basi kazi bado ipo.
Ada unaruhusiwa kulipa kwa awamu mbili so inategemea na mkopo umepewa kiasi gani kwa hiyo loarn board wakishatoa unatakiwa uchukue kile kiwango unacho jilipia divide by two, na kama haulipiwi na loan board ada unatakiwa ulipe laki 5 for first semester, then second semester laki 5 nyinginr mana ada ya mwaka ni milion moja.
Kuna direct cost ambayo ni Tshs 77400 katika hiyo unakua umelipia bima ya afya, kitambulisho na hela ya DARUSO.
kama umepangiwa hostel za chuo ni sh 110000 kama unaishi hostel za ndani ya chuo, au 75000 kama unaishi hostel za mbagala au mabibo.
KARIBU
n kwel kuw wanaokosa hostel ni weng zaid ya wanaopata,naomb kujua ukwel kuna jamaa kanambie watu kama mia 5 mwaka jana ndy waliopata hostel za ndan(duce),mabibo n mbagala hostel kat ya watu elfu 1 na mia 7.
naomba kuuliza utaratibu wa libary ukoje hapo,muda wa kujisomea private ukoje ktk madarasa ni muda wowote utakao au kuna muda maalumu maana nilpita hapo duce naona kuna gate...sasa ndo naulza muda wowote hata nyakat za ucku unaruhuswa kuingia ndani ya chuo?
Library inakuwa wazi na huru muda wote hadi saa nne kamili usiku.Mwanafunzi unaruhusiwa kuingia chuo muda wote.Kwa wanaoishi hostel unaruhusiwa kumkaribisha chumbani kwako mgeni asiye mwanachuo hadi saa kumi na mbili jioni na kwa mgeni mwanachuo anaruhusiwa hadi saa sita usiku.
Umenikumbusha DUCE tulikuwa tukiita dar es salaam university college of engineering.
Wakuu salam.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshatoa first batch kwa undergraduate so nina amini kuna watu wamechaguliwa Dar es Salaam University College of Education (DUCE), mimi ni mwanachuo wa hapa hivyo naweza kukupa some hints kuhusu chuo hiki katika nyanja zote za kitaaluma na kijamii.
KARIBUNI SANA KWA MASWALI NA UFAFANUZI KUHUSU DUCE
zimetoka mi ninayo hapa
umeipataje mkuu, na mm niweze kuwa nayo,
download kwenye website ya duce