Niulize chochote kuhusu DUCE

Niulize chochote kuhusu DUCE

Stationary kwa maeneo ya DUCE ni cheap kuliko maeneo yote ya DAR ES SALAAM. Imagine photocopy ni Sh. 30 hadi Sh. 40 kwa page moja, printing ni sh. 70 kwa page kwa black and white, coloured ni 300 kwa page. Gharama za namna hii hazipo popote dar.
Kuhusu WI-FI, DUCE ndo college ambamo WIFI hupatikana kila mahali. Vyuo vyote havifikii hali ya DUCE. Mtandao ni wa spidi nzuri, watu wa vyuo jirani kama DIT ndo huja kufurahia mtandando. Ukija utanitafuta hata kwa PM nikupe password za mtandao wa meneo mbalimbali ya chuo. Ubaya ni kuwa wanachuo wa DUCE ni washamba huwa hawatumii net.

naomba niulize hiv kwann watu wengi wanasema wanafunzi wa DUCE NI WASHAMBA wakati wapo mjini
 
naomba niulize hiv kwann watu wengi wanasema wanafunzi wa DUCE NI WASHAMBA wakati wapo mjini

Kimsingi ni kuwa watu DUCE hawapendi kuenda na mabadiliko siongelei swala kuiga kila kitu kwa jina la usasa, ila ni kwamba ni wazito wa kuchangamkia teknolojia, utashangaa smartphone zinatumika na wachache. Kuna hali ya kujirudisha nyuma wenyewe, ila sio mbaya si unajua binadamu tumeumbwa tofauti tofauti sio lazima tufanane. Ila vinginevyo DUCE ni sehemu nzuri kwa ajili ya kujifunza ustaarabu, ni sehemu ambapo watu wanafanya mashindano ya kuvaa kwa nidhamu, ni sehemu ambapo watu hawanyang'anyani boyfriend wala girlfriend. Watu wakijua tu fulani ni wako aise haguswi wala kusumbuliwa. Ni sehemu watu wanaishi kiutu uzima. Mi nimemaliza huu mwaka, ila natamani ningeendelea kusoma hapo.
 
hivi DUCE ndo nn? mm najua UDOM na UDSM
Dar es salaam University College Of Education ,hiki ni chuo pia ambacho ni college of education ambalo ni tawi mojawapo la UDSM unayoijua wewe ,chuo kipo chang'ombe jirani na uwanja wa taifa.
 
naomb wana wa DUCE mniambie tofaut ya vyumba vya 30,000 na 50,000...pia hostel zp zna ubora au nzuri kuishi za ndani ya chuo au za mtaani?
 
naomba mahitaji kwa ujumla kaka ili nijipange kabisa kuongea na mshua aniandalie mapema kabsa vilevile na PC ina umhim au ni madaftari tu.
 
Kuanzia mwaka jana idadi ya wanaofaidika na mikopo imepungua sana na miaka inavyoenda nadhani tatizo litaongezeka mara dufu. Me nna mdogo wangu yeye yupo 1st yr anaenda 2nd kasoma kata mwanzo mwisho lakini boom analisikia kwenye bomba, tatizo hili linaendelea kutokana na kuwa na mapupet wa admn pale daruso maana hawajawahi jitokeza hadharani kuwatetea.

Punguza kuwa na negativity na uongee facts, who is DARUSO when it comes to Loans? DARUSO wanahusika kumpangia mtu mkopo? Wana nafasi gani Loan board? wanahusikaje na taarifa zako ambazo mwisho wa siku ndo zinazokupa mkopo? Kwa taarifa yako DARUSO hawana sauti yoyote Loan board na ndo maana kuna loan officer yuko pale. Unless hujui majukumu na mipaka ya DARUSO utaacha kuwalaumu kwa kitu kilicho nje ya uwezo wao.
 
naomb wana wa DUCE mniambie tofaut ya vyumba vya 30,000 na 50,000...pia hostel zp zna ubora au nzuri kuishi za ndani ya chuo au za mtaani?

Kupata Hostel za ndani ya chuo ni ngumu kiasi kwa kuwa zina capacity ya ku accomodate watu 395 tu ilhali mwaka wa kwanza mnakuwa 1500+, Still kuna accomodation policy inayotoa guideline za watu wa kupangiwa hostel za ndani kutokana na uchache wake. Vipaumbele huwa kwa watu wafuatao.
1.Walemavu wa aina yoyote ile
2.Wagonjwa kwa ushauri wa daktari
3.Mawaziri wa serikari ya wanafunzi
4.Mabinti wa mwaka wa kwanza kutoka nje ya Dar es salaam
5.Mtu mwingine yeyote
Priority ni kama nilivyoweka hapo. Consideration kwa namba 4 na 5 ni baada ya kuwakamilishia namba 1-3. Ukipangiwa chumba unapaswa kukilipia ndani ya siku 14. zaidi ya hapo kitagawiwa kwa mtu mwingine.
 
Punguza kuwa na negativity na uongee facts, who is DARUSO when it comes to Loans? DARUSO wanahusika kumpangia mtu mkopo? Wana nafasi gani Loan board? wanahusikaje na taarifa zako ambazo mwisho wa siku ndo zinazokupa mkopo? Kwa taarifa yako DARUSO hawana sauti yoyote Loan board na ndo maana kuna loan officer yuko pale. Unless hujui majukumu na mipaka ya DARUSO utaacha kuwalaumu kwa kitu kilicho nje ya uwezo wao.

Hivi we unajielewa kweli? Okey ngoja nkuulize kazi ya Daruso ni nini?...hako ka boom unakokapata unajua historia yake? Au unadhani serikali ilikurupuka tu mambo yakawa hvo, watu walipoteza chuo lakini wakitetea maslahi yako, katafute chanzo cha mgomo wa udsm 2011 ukishakijua ndio utajua majukumu ya kiongozi wako...NADHANI NA WEWE NI MMOJA WA VIONGOZI MLIOTUKIMBIA WAKATI WA MGOMO PALE CHUO, POOR YOU.
 
Stationary kwa maeneo ya DUCE ni cheap kuliko maeneo yote ya DAR ES SALAAM. Imagine photocopy ni Sh. 30 hadi Sh. 40 kwa page moja, printing ni sh. 70 kwa page kwa black and white, coloured ni 300 kwa page. Gharama za namna hii hazipo popote dar.
Kuhusu WI-FI, DUCE ndo college ambamo WIFI hupatikana kila mahali. Vyuo vyote havifikii hali ya DUCE. Mtandao ni wa spidi nzuri, watu wa vyuo jirani kama DIT ndo huja kufurahia mtandando. Ukija utanitafuta hata kwa PM nikupe password za mtandao wa meneo mbalimbali ya chuo. Ubaya ni kuwa wanachuo wa DUCE ni washamba huwa hawatumii net.

Ni kweli kuwa watu wa DUCE wana hofu sana shule, muda mwingi hupenda kukaa vimbwetani hata kama hawana shughuli ya muhimu. Hasara wanayaoipata kwa kufanya hivyo ni kutopata uzoefu wa maisha ya jiji. Kwa wanaokaa hostel za ndani ndo hupata athari zaidi maana wao huishi kama vile ni form 7. Wamalizapo chuo hawana plan yoyote zaidi ya kurudi nyumbani kusubiria baraka za Mola ziwape mema. Pili watu wa DUCE ni wasomaji sana wa madaftari ya notes, hawana muda wa kutumia mtandao wala PC, nadhani ndo chuo ambacho kinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi wasiojua kutumia kompyuta. Kwa mwaka mnaoanza kuna mazuri yaliyopo DUCE kama vile uungwana katika mavazi, uzingatiaji wa dini na uaminifu katika mahusiano, hizo ndo tunu za DUCE mzifuate mnufaike. Masomo zingatia sana hakikisha unapambana GPA yako iwe juu ya 3.5. Tembea mjini ujue k/koo, posta, mwenge, kurasini, k/ndoni. Husiana na marafiki nje ya wanafunzi ili uwe na picha nzuri ya maisha. KARIBUNI DUCE, KISIWA CHA USTAARABU.

Ubize na Coet utasemaje sasa, uoga wa watu na ushamba tu watu wanakomaa utafikiri kaja shule ya boarding, then hakuna events za kuwatoa watu nje ya chuo "mabash" kwa mtakaokuja Duce mtayasikia kwenye bomba tu.

Kimsingi ni kuwa watu DUCE hawapendi kuenda na mabadiliko siongelei swala kuiga kila kitu kwa jina la usasa, ila ni kwamba ni wazito wa kuchangamkia teknolojia, utashangaa smartphone zinatumika na wachache. Kuna hali ya kujirudisha nyuma wenyewe, ila sio mbaya si unajua binadamu tumeumbwa tofauti tofauti sio lazima tufanane. Ila vinginevyo DUCE ni sehemu nzuri kwa ajili ya kujifunza ustaarabu, ni sehemu ambapo watu wanafanya mashindano ya kuvaa kwa nidhamu, ni sehemu ambapo watu hawanyang'anyani boyfriend wala girlfriend. Watu wakijua tu fulani ni wako aise haguswi wala kusumbuliwa. Ni sehemu watu wanaishi kiutu uzima. Mi nimemaliza huu mwaka, ila natamani ningeendelea kusoma hapo.

Hivi mnaosema wanachuo wa DUCE ni washamba, hawaendi nawakati, wengi sio wajuzi wa teknolojia etc etc mna maana gani hasa? kwani wanaopangwa hiyo Cumpus wanapitia katika mchakato tofauti na wale wanaoenda campus zingine like muce and mlimani?? au ni nini hasa kinachopelekea muwajudge ktk muono huo?? na ningependa nifaamu pia if that kind of people wanaappear every year au ni mwaka wenu tuu.. au labda mazingira na mifumo ndo inawaforce watu wanaoingia kila mwaka wakawa na tabia hizo mnazozitaja hata kama alikotoka hakuwa nazo..
UFAFANUZI TAFADHARI..

:thinking::thinking:
 
naomba kuuliza kuwa wiz katika hostel ukoje nasikia wiz ni wakumwaga pia naomba kuuliza mim NIMEPANGIWA DUCE na ninaishi shinyanga lakin DAR ninandugu ninavyoojua watanipangia HOSTEL sas namim sitaki kuish HOSTEL je nitaweza kuish nyumbani na kwenda shule (Duce) na nyumbani ni SINZA. mwenye ufahamu na hili anijuze
 
Wizi popote pale upo tu, hata hapo kwenu upo.. cha msingi ni umakini wako tuu

kuhusu kuishi nje ya hostel ni uamuzi wako tuu hata kama unataka kuishi bagamoyo chuo dsm sawa tuu ilimradi uende sawa na ratiba za chuo... maisha ya chuo is quit dif namaisha ya secondary
 
asante mkuu
 
Ni chuo changu but kipo kushoto xana, unaweza kuja ukaondoka bila hata kujua posta...ushamba mwingi, uongozi wa kupupet kushobokea admn, dean of student ndio majanga anajifanya kuwa na power zaidi ya Mukandara...mliochagua njooni but lazima mjue hayo.[/QUOT mmmhhh acha uongo
 
Back
Top Bottom