Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
- Thread starter
- #241
Kama kuna vijana wako humu wamechaguliwa DUCE karibuni tupeane ABC wapi pa kukanyaga na wapi usikanyage
Saiz anachukua PhDuyu mama ni noma sanaa, nilifanya quiz ofisini kwake lakini haikua rahisi aisee
Ebwana Kuna mzee hapo UDSM anaitwa Nselemu nilikutana naye China...niligundua kuwa ni Watanzania baada ya kusikia wakiongea Kiswahili na wenzake Wengine wawili aliokuwa nao...niliwafuata ila Alikuwa na Nyodo sana nikamsalimia katika kuulizana ndipo akanambia kuwa yeye ni Profesa hapo UDSM!!......kama sikosei ilikuwa mid-2014Saiz anachukua PhD
Ni PhD holder hatara sana huyo mtu watu wa History pale DUCE wanamjua vilivyoEbwana Kuna mzee hapo UDSM anaitwa Nselemu nilikutana naye China...niligundua kuwa ni Watanzania baada ya kusikia wakiongea Kiswahili na wenzake Wengine wawili aliokuwa nao...niliwafuata ila Alikuwa na Nyodo sana nikamsalimia katika kuulizana ndipo akanambia kuwa yeye ni Profesa hapo UDSM!!......kama sikosei ilikuwa mid-2014