Niulize chochote kuhusu DUCE

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,880
4,883
Wakuu salam.

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshatoa first batch kwa undergraduate so nina amini kuna watu wamechaguliwa Dar es Salaam University College of Education (DUCE), mimi ni mwanachuo wa hapa hivyo naweza kukupa some hints kuhusu chuo hiki katika nyanja zote za kitaaluma na kijamii.

KARIBUNI SANA KWA MASWALI NA UFAFANUZI KUHUSU DUCE
 
kwan DUCE ni ile tu ya changombe au hata main campus ipo?
Alafu kuhus hostels kwa Duce ya changombe zipo WAP kaka nawasilisha
 
vp kuhusu gharama za hostel zkoje hapo na zpo wap? na unaenza kukaa hostel kpnd chote cha kozi
 
DUCE ni moja tu ile ya chang'ombe ambayo ni tawi la UDSM.
Kuhusu hostel tunatumia hostel 3 ambazo ni mabibo hostel zile za UDSM, mbagala hostels zilizoko Mbagala na hostel za ndani. pamoja na hivyo bado kuna uhaba wa hostel hivyo kuna hostel za nje ambazo ni private owned na zina differ kwa bei depend on the quality and services provided. kwa kuongezea ni kuwa first year hasa girls wanapewa priority ktk suala la hostel.

KARIBU
 
vp kuhusu gharama za hostel zkoje hapo na zpo wap? na unaenza kukaa hostel kpnd chote cha kozi

Gharama za hostel za mabibo kama sijakosea ni Tshs 75000 per first semester ( semester ya pili gharama ina pungua kidogo) the same to mbagala hostels. kwa hostels za ndani gharama yake ni Tshs 110000 per first semester kwa second semester ni 95000.
kuhusu kukaa hostel, unaruhusiwa kukaa hostel only ukiwa first year otherwise uwe na special case au ni kiongozi wa DARUSO ndo itapangiwa hostel kwa second year.
 
Kuna tatizo vyuoni walimu kuwa na uhusiano wa kimapenzi, hasa wadada wazuri na hata kuvunja ndoa. Vipi hapo naweza mleta mchumba wangu akatoka salama?
 
Ha ha haaaa,JERY bhana.
Usiogope,itakuwa mda mwafaka wa kumjua mwnzio ana ustahimiliv kias gan kwnye kukwepa VISHAWISHI.
mpeleke tu.
 
Kuna tatizo vyuoni walimu kuwa na uhusiano wa kimapenzi, hasa wadada wazuri na hata kuvunja ndoa. Vipi hapo naweza mleta mchumba wangu akatoka salama?

Anatoka salama kama atakumbuka kama ana mchumba. Wala katika hilo mwalimu anaweza asimuaharibu huyo mchumba wako bali wanachuo wenzake.
Case za walimu kuwa na uhusiano na wanachuo kwa DUCE ni chache sana na hata zilizopo ni personal issues ambazo zinaweza zisiwe na impact in academics.

KARIBU
 
Dk Mselemu Yupo?Ha Ha Haa.Je Kuna Masters Hapo Niombe Mwakani?
 
Nimchaguliwa hapo duce ila sijapenda kusoma education sasa nataka nafasi iyo niliyopata nije nikung^utie watoto kali, nauliza vipi kuna watoto wakali wanasoma education mm nipo mkoa wa kagera uku
 
Imekiaje hujapenda kusoma education wakati chuo ulikiomba mwenyewe? au course ziliisha zote kwenye vyuo vyote?
Kuhusu hao watoto unaowaita wakali wengine mmetoka nao JKT utawaona wapo wa kutosha tu.

KARIBU
 
Gharama za hostel za mabibo kama sijakosea ni Tshs 75000 per first semester ( semester ya pili gharama ina pungua kidogo) the same to mbagala hostels. kwa hostels za ndani gharama yake ni Tshs 110000 per first semester kwa second semester ni 95000.
kuhusu kukaa hostel, unaruhusiwa kukaa hostel only ukiwa first year otherwise uwe na special case au ni kiongozi wa DARUSO ndo itapangiwa hostel kwa second year.

asante mkuu hapa nimekupata nitakaribia
 
DARUSO ndo nin
 
Hakuna walimu wa kike ambao hawajapata wachumba? Mimi nimechaguliwa kuja hapo km nitampata Lecturer wa kike mrembo tupunguziane matatizo itakuwa poa sana.
 
Back
Top Bottom