Niulize chochote kuhusu DUCE

Niulize chochote kuhusu DUCE

Dr yupo tena kwa makali yale yale. kuhusu masters kwa sasa haipo lln kwa taarifa nilizo nazo wanaweza kuanza this academic year

acha uongo! Dr yupo makali yashaisha na anaobgezea watu maksi saaana yani haitaji watu wasap na kucarry
 
dr msemo na vakolavene bado wapo? sitawasahau wapuuzi wale loh...! kama bado wapo nawapa pole watakao kuwa depertment ya history! mmekwisha.
 
tunaomba wana wa DUCE mtujuze gharama zote znazohitajika mpaka kukamilisha usajiri na kupata hostel ili tujiandae.
 
wapo mkuu japo vakolavena yupo kusoma but anaweza kuwepo this semester
 
tunaomba wana wa DUCE mtujuze gharama zote znazohitajika mpaka kukamilisha usajiri na kupata hostel ili tujiandae.

Ada unaruhusiwa kulipa kwa awamu mbili so inategemea na mkopo umepewa kiasi gani kwa hiyo loarn board wakishatoa unatakiwa uchukue kile kiwango unacho jilipia divide by two, na kama haulipiwi na loan board ada unatakiwa ulipe laki 5 for first semester, then second semester laki 5 nyinginr mana ada ya mwaka ni milion moja.
Kuna direct cost ambayo ni Tshs 77400 katika hiyo unakua umelipia bima ya afya, kitambulisho na hela ya DARUSO.
kama umepangiwa hostel za chuo ni sh 110000 kama unaishi hostel za ndani ya chuo, au 75000 kama unaishi hostel za mbagala au mabibo.

KARIBU
 
asante bro kumbe kuna vijipesa vinahtajka kwa kias hcho....samahan kwa hili swali ningependa kujua hyo 77,400 Nilikuwa naomb mchanganuo wake pesa ya bima ni bei gan(maana wengne wana bima tayar), kitambulsho bei gan na hyo DARUSO unaichangia bei gan? nawasilisha mwenye majbu anisaidie nianze kujipanga si unafaham wengne hali zetu duni.
 
Ngoja nikisaidie usiejua,
Unajua kilichofanya mpaka sasa dr aundiwe tume?
Unaju semester ya kwanza amekata wanafunzi wangapi kati ya wangapi? ni vema ukawa mpole kama hujui

kwani baada ya tume dr kawaje! usjifanye unajua yote dr yuko safi tunamjua wanaHI
 
asante bro kumbe kuna vijipesa vinahtajka kwa kias hcho....samahan kwa hili swali ningependa kujua hyo 77,400 Nilikuwa naomb mchanganuo wake pesa ya bima ni bei gan(maana wengne wana bima tayar), kitambulsho bei gan na hyo DARUSO unaichangia bei gan? nawasilisha mwenye majbu anisaidie nianze kujipanga si unafaham wengne hali zetu duni.

50400- bima ( kama una bima hela hii haulipii)
12000-Examination fee
5000-DARUSO
5000-Identify card
5000-Registration
 
asante bro, nahisi mambo mengne tutayakuta kwenye join instruction...na vipi kuhusu gharama za chakula kwa wale wanaokula kwa bill.
 
Bei ya chakula kwa cafe za ndani ni sh 800 wali maharafe, sh 1200 wali/ugali samaki/nyama, 1500 wali/ugali kuku.
kwa cafe za nje ni sh 1000 kwa wali/ugali nyama/dagaa.

CHAI
kwa cafe za ndani chapati, andazi ni @ sh 200, chai ni sh 100, supu ni 1000 kwa 1500.
kwa cafe za nje ni sh 300/250 kwa chapat, andazi na chai ni sh 200.

nauliza hiv mkuu hosteli unapangiwa au unachagua na je ukiwahi unaweza pata hosteli nzuri
 
Hosteli unapangiwa, mnaripoti chuo wakat mmeshapangwa hostel kwa hiyo kuwah au kutokuwah bado haiathir upangwaji wa hostel, japo kama umepangiwa hostel na ukichelewa kulipia nafas yako ya hostel inachukuliwa na mtu mwingine
 
Bei ya chakula kwa cafe za ndani ni sh 800 wali maharafe, sh 1200 wali/ugali samaki/nyama, 1500 wali/ugali kuku.
kwa cafe za nje ni sh 1000 kwa wali/ugali nyama/dagaa.

CHAI
kwa cafe za ndani chapati, andazi ni @ sh 200, chai ni sh 100, supu ni 1000 kwa 1500.
kwa cafe za nje ni sh 300/250 kwa chapat, andazi na chai ni sh 200.

KARIBU

ufafanuz mkuu kwa hapo kdogo..kwa hyo ukitaka kuweka bili inakuwa ni chakula kimoja kama wali&maharage au wali&nyama mwezi mzma maana bei ya vyakula ulvyotaja inatofautiana sasa hapo bili utaiwekaje? na siku usipochukua chakula pesa yako ndo inakuwa imekwenda au unaweza kuifidia siku nyingine
 
Back
Top Bottom