Mchumi90
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,102
- 1,331
unawataka Wa kaz gan?
Kwani anayejiuza c anataka @_kugegedwa mkuu, ndio maana anawataka.
unawataka Wa kaz gan?
Mkuu naomba kuuliza unapomaliza mwaka wa tatu DUCE, chet huwa kinaandikwa Udsm au Duce?
wakuu kama join instruction ya DUCE imeshatoka naomba mtujuze?
Nenda website ya chuo mkuu, ikitoka unaweza kui download.
mbona Joining instrctn mm siielew (tatzo co lugha) ni ndefu na maelezo ming, alieilewa anawz akaisamaraiz hap maelez muhim nkaelewa.. plz help em
mbona Joining instrctn mm siielew (tatzo co lugha) ni ndefu na maelezo ming, alieilewa anawz akaisamaraiz hap maelez muhim nkaelewa.. plz help em
nenda kwenye website hukos mkuu
mbona Joining instrctn mm siielew (tatzo co lugha) ni ndefu na maelezo ming, alieilewa anawz akaisamaraiz hap maelez muhim nkaelewa.. plz help em
Ada unaruhusiwa kulipa kwa awamu mbili so inategemea na mkopo umepewa kiasi gani kwa hiyo loarn board wakishatoa unatakiwa uchukue kile kiwango unacho jilipia divide by two, na kama haulipiwi na loan board ada unatakiwa ulipe laki 5 for first semester, then second semester laki 5 nyinginr mana ada ya mwaka ni milion moja.
Kuna direct cost ambayo ni Tshs 77400 katika hiyo unakua umelipia bima ya afya, kitambulisho na hela ya DARUSO.
kama umepangiwa hostel za chuo ni sh 110000 kama unaishi hostel za ndani ya chuo, au 75000 kama unaishi hostel za mbagala au mabibo.
KARIBU
ingia hapa acha uvivu www.udsm.ac.tz