Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
- Thread starter
- #181
hi,nauliza hostel duce ni zakuwaia au ni ready arranged in nems?ts ms C..
Yes unakuta zimesha be located kwa majina so ukifika utaangalia jina lako kama umepangiwa
hi,nauliza hostel duce ni zakuwaia au ni ready arranged in nems?ts ms C..
Usihofu mkuu kwa DUCE fomu inajazwa kwenye dispensary ya chuo ambapo utalipia elfu 5 tu
basi naomba unisadie kuwajibu wale mabishoo wa DUCE kwasbb mkifunga chuo huwa wanasumbua sana
Wakuu salam.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshatoa first batch kwa undergraduate so nina amini kuna watu wamechaguliwa Dar es Salaam University College of Education (DUCE), mimi ni mwanachuo wa hapa hivyo naweza kukupa some hints kuhusu chuo hiki katika nyanja zote za kitaaluma na kijamii.
KARIBUNI SANA KWA MASWALI NA UFAFANUZI KUHUSU DUCE
Ukishahitimu na kupewa Gamba hakuna mahali DUCE inaandikwa jina ni moja tu UDSM, isipokuwa college inaandikwa kwenye transcript ambayo nayo huwa haitiliwi maanan ukishapata CHETI
vipi kwa ambao hatuna ndugu dar, na hostel haujui unapewa lini, au chuo kina utaratbu gani kwa wale wanaotoka mikoa ya mbali na hawana sehemu ya kufikia?
Chuo hakina utaratibu wowote wa ku accommodate watu wa aina hiyo so unatakiwa ujiandae kwa hilo
naomb kuulza hpo hv wanafunz wa duce wanatumia IRIS ip ya udsm au kuna ya duce. pia naulza kwmb hv duce kuna hostel za ndan au nd hzo tu za mbgl na mabibo
Aris ni moja kwa wanachuo wote wa main campus, duce na muce
naomb kuulza hpo hv wanafunz wa duce wanatumia IRIS ip ya udsm au kuna ya duce. pia naulza kwmb hv duce kuna hostel za ndan au nd hzo tu za mbgl na mabibo
ili upewe admission letter vitu gani unatakwa uoneshe?
Binafsi sikuonesha kitu chochote zaid ya kujitambulisha degree program yako pamoja na jina lako