Niulize chochote kuhusu DUCE

relax hcho unachotaka utapata chuo kikifungulia mana hata ukidownload utasubir mpaka wafungue ndo u submit
 
nackia kuna fomu ya hospitali inatakwa ijazwe ndo nashnda nayo hyo...maana kwa dsm ntapata usumbufu kuijaza ukilingansha na huku ni lipo,(uwanja wa nyumban)
 
kuna vipimo vingi sanaaaaa njoo dar tu usihof uone jins vipimo vya laki mbli vinavyokua buku 5
 
Namtafuta binti moja hapo Duce ni mwaka wa kwanza,nimepoteza namba yake plz niunganishe,nipo mwanza
 
nackia kuna fomu ya hospitali inatakwa ijazwe ndo nashnda nayo hyo...maana kwa dsm ntapata usumbufu kuijaza ukilingansha na huku ni lipo,(uwanja wa nyumban)

Usihofu mkuu kwa DUCE fomu inajazwa kwenye dispensary ya chuo ambapo utalipia elfu 5 tu
 
Back
Top Bottom