mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 644
- Thread starter
- #121
Ninae Ila Wamefunga Chuo Kipind HikiMkuu clinical officer training center Lindi una rafiki pale
Ninae Ila Wamefunga Chuo Kipind HikiMkuu clinical officer training center Lindi una rafiki pale
Pamoja mkuuPoa,nitaenda tuu njombee!!
Asanteni sanaaaa!!
Nimepata kitu
Sijapenda jina lako hapo juu. It seems wewe ni mwalimu halafu unajipa ID ya hivyo! Sensible man atashindwa hata kukuuliza lolote questioning your credibility with such names/ID. If you can change it please.Vyote Vya Serikali Viko Vizuri! Ila Naweza Kuizungumzia Mtwara COTC Ni Kizuri Maana Ndipo Nilipo! Ni Kizuri (SHULE IPO, WALIMU, MAJI, UMEME ,HOSPITAL + MAJENGO) Karibu
Nimejitahidi kuangalia sijapata kitu kaa unaweza nisaidie..pia upload module please utakuwa msaada MkubwaMkuu Soma Maelezo Hapo Juu Nilishalifafanua Hili. Asante
Mdogo wangu kapangiwa paleNinae Ila Wamefunga Chuo Kipind Hiki
Ni Pazuri Ila Panataka Shule.Mwambie AkakazaneMdogo wangu kapangiwa pale
Nimekuelewa Nitalifanyia Kazi.Sijapenda jina lako hapo juu. It seems wewe ni mwalimu halafu unajipa ID ya hivyo! Sensible man atashindwa hata kukuuliza lolote questioning your credibility with such names/ID. If you can change it please.
Sawa Sawa mkuuNi Pazuri Ila Panataka Shule.Mwambie Akakazane
Hosteli Mkuu! Kama Hapo Lindi Chuo Mjini Kabisa! Ukimuweka Day Utampoteza!! Route Za Hospital Nying AtazikosaKwa vyuo vya serikali Kipi bora kukaa hostel au kitaa
Hatazikosa kivipi tena... Hamna ratibaHosteli Mkuu! Kama Hapo Lindi Chuo Mjini Kabisa! Ukimuweka Day Utampoteza!! Route Za Hospital Nying Atazikosa
Asante sana. We ni muungwana wa kweliNimekuelewa Nitalifanyia Kazi.
Unajua maana ya neno 'equivalent' ?... Naona unakurupuka kama watoka usingiziniAMO sio sawa na MO..
AMO ni Assistant Medical Officer na uyo AMO ni Medical officer...
AMO ana hold Advance diploma in medicine wakati MO anahold degree ya udaktari...ambayo tunaita Doctor of medicine(MD) na wengine wanaita Bachelor of medicine and bachelor of surgery (MBBS)...
kwa iyo Amo ni mdogo kwa Mo....
sawa kijana
Ndio CO anaweza kuunga direct MD endapo hajapata ajira ya serikali. Ukiwa umepata ajira serikalini ni lazima ufanye kazi miaka mitatu ndipo uombe kwenda kusoma na utapata ruhusa.Yaaa hiyo C.O
Procedure sake zipoje.je,anaweza kutoka diploma akaunga M.D
Directly?!
So,ukiwa wafanya kaz private unaweza kuendeleaaaNdio CO anaweza kuunga direct MD endapo hajapata ajira ya serikali. Ukiwa umepata ajira serikalini ni lazima ufanye kazi miaka mitatu ndipo uombe kwenda kusoma na utapata ruhusa.
Kwani ajira ni moja kwa moja Toka wizaraNdio CO anaweza kuunga direct MD endapo hajapata ajira ya serikali. Ukiwa umepata ajira serikalini ni lazima ufanye kazi miaka mitatu ndipo uombe kwenda kusoma na utapata ruhusa.
HakikaAsante sana. We ni muungwana wa kweli
Hakuelewa labdaUnajua maana ya neno 'equivalent' ?... Naona unakurupuka kama watoka usingizini