baba bora
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,500
- 1,096
Ukipata mtaala wamesuggest vitabuJamani tuwekeeni title za vitabu.. text books- vinavyotumika katika kozi hii.
Ukipata mtaala wamesuggest vitabuJamani tuwekeeni title za vitabu.. text books- vinavyotumika katika kozi hii.
Kumbuka Clinical Medicine Ni Full Time Course! Na Hakuna Ratiba Ya Kwenda Hospital. Kuna Muda Wenzio Watahitajika Au Wataenda Wodini Yeye Akawa Hayupo! Na Kukaa Nje Gharama Pia! Mim Nakwambia Kwa Sababu Nilisoma CO! Now Ni AMO! Nimepitia Maisha Yote Ya Day + Hostel. Ila Unaweza Kumpeleka Day. AsanteHatazikosa kivipi tena... Hamna ratiba
Chuo Gani Mkuu Unisaidie? AsanteNdio CO anaweza kuunga direct MD endapo hajapata ajira ya serikali. Ukiwa umepata ajira serikalini ni lazima ufanye kazi miaka mitatu ndipo uombe kwenda kusoma na utapata ruhusa.
Labda nikujulishe tu ukilaza wa mtu unategemea na mtu mwenyewe. Mimi pia nimepitia huko C.O miaka mingi iliyopota na nimefanya kazi tena hapo Mtwara, hata ma C.O wapo vikaza hata kufanya incision and drainage hawajui. Labda unisaidie how do you define ukilazaMdogo Kwa Kauli Zako Mkuu Na Maandishi!!! But In Practice Hao MD Wengi Ni Vilaza! Sikatai MD Ni Wakubwa.
Yah! Ajira Moja Kwa Moja Ila Tangu Aingie Uncle Magu Hali Imekuwa Hali Imekuwa Tete KidogoKwani ajira ni moja kwa moja Toka wizara
HII NDIYO CURRENT AU?Ukipata mtaala wamesuggest vitabu
Sipo Kwa Ajili Ya Kubishana Mkuu! Na Neno Langu Sio Sheria Asante.Labda nikujulishe tu ukilaza wa mtu unategemea na mtu mwenyewe. Mimi pia nimepitia huko C.O miaka mingi iliyopota na nimefanya kazi tena hapo Mtwara, hata ma C.O wapo vikaza hata kufanya incision and drainage hawajui. Labda unisaidie how do you define ukilaza
Hapana Mkuu! Nipe Muda Nita Upload + ModulesHII NDIYO CURRENT AU?
ThanksHapana Mkuu! Nipe Muda Nita Upload + Modules
Asante kwa ushauri mzuriKumbuka Clinical Medicine Ni Full Time Course! Na Hakuna Ratiba Ya Kwenda Hospital. Kuna Muda Wenzio Watahitajika Au Wataenda Wodini Yeye Akawa Hayupo! Na Kukaa Nje Gharama Pia! Mim Nakwambia Kwa Sababu Nilisoma CO! Now Ni AMO! Nimepitia Maisha Yote Ya Day + Hostel. Ila Unaweza Kumpeleka Day. Asante
Dogo akakomae tuYah! Ajira Moja Kwa Moja Ila Tangu Aingie Uncle Magu Hali Imekuwa Hali Imekuwa Tete Kidogo
Ndio ndioHII NDIYO CURRENT AU?
Kuna mpya... Tofauti na 2016Hapana Mkuu! Nipe Muda Nita Upload + Modules
Kweli Mkuu.... Wengi wanajionaUnajua MD wa hapa Tz wanadharau sana, na bahati mbaya sana katika hospitali nyingi za wilaya AMO ndo wapo wengi na ndio wanaotegemewa, wanauzoefu na ufanisi mkubwa sana katika kazi kuliko hawa freshmen 'MDs) lakini dharau iliyopo katika 'medicine' asee! inatia kichefuchefu.
Mbona chumvi amekataa , muulize u confirmNdio ndio
Ni juavyo hiyo ya 2016 Ndo inatumika. Labda kama ipo ya mwaka huuMbona chumvi amekataa , muulize u confirm
basi tuwekee hapa pleaseNi juavyo hiyo ya 2016 Ndo inatumika. Labda kama ipo ya mwaka huu
Hiyo niliyoweka Sio ya 2016?basi tuwekee hapa please
2015Hiyo niliyoweka Sio ya 2016?