INAUZWA Niulize chochote kuhusu laptop au Smartphone ambacho hukijui mi nitakusadia kukufahamisha

Feb 7, 2012
72
67
Kama una swali lolote kuhusu laptop au smartphone ambalo limekuwa likusibu au kukupa changamoto hasa unaponunua au unapotumia baadhii ya hiv vifaa vya kieletroniki. Kuna watu wengi hupitia hizi changamoto na wanakosa mtu wa kumwambia hivo hubaki nayo moyoni ambayo kwa wengine ni maumivu sababu hicho kitu kinamtesa na hana msaaada wowote kwa watu walimzunguka sasa hii ni nafasi yako kuuliza upate jibu sahihi karibu kwa maswali , ushauri , namna ya kujua hii mpya hii used Hii refurbished na mengineyo mengi.

49fc6238-d090-4fc6-a897-6903f566979f.jpg



6b483b81-3ff0-46c3-81f4-212f0512d50f.jpg



Jipatie hiizi kwa kila moja ni laki 3 na 80 elfu
WhatsApp 0652565597
Piga simu 0687391033
 
Back
Top Bottom