baba bora
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,500
- 1,093
Ninayo ya 16 ngojaa ni icheki2015
Ninayo ya 16 ngojaa ni icheki2015
ok tuwekeeNinayo ya 16 ngojaa ni icheki
Ile Ya 2015! Au Macho Yangu MabovuKuna mpya... Tofauti na 2016
Nilikua nazo mbili Naya 2016Ile Ya 2015! Au Macho Yangu Mabovu
Ndio ndio mkuuJaman haya masuala ya curriculum huwa yana badilika kuendana na uhitaji wa wizara...
Mimi naomba nishauri Kitu ila neno langu si sheria lakini...
Haya masuala ya kutaka kujua modules zinazotumika ni zipi ili mtu aanze kuzipitia embu acheni kwanza, shughulikia lililopo mbele yako kwa sasa kama unatakiwa kusubiri join instructions zisubiri then karipoti uliko pangiwa
Masuala ya elimu sometimes unaweza kusema ngoja nijaribu kuanza kuvipitia kumbe unajichanganya mwenyw tu
Neno langu si sheria lakini naomba ufuate maelekezo ambayo utakayopewa pale utakapo report
That's all
true DAT pharm ndo mpango mzima mzee babaWhat about pharmacy! ,koz ndyo habar ya mjin
Sio kwelHapana Kuunga Direct Kwenye Afya Lazima Ufanye Kazi Miaka 2_3
Kuna ndug yang mmoja kachaguliwa hapo....labda nikuunganishe nae mupeane mawili matatuMimi nimemaliza CA nimeomba CO nimepata chuo cha kilosa COTC nataka niunganishe....nataka nijue tutaenda lini chuo au mtu mwenye namba za mkuu wa chuo au rafiki yake hapo kilosa COTC anisaidie
Kunamtu nilimsikia mahali akisema matabibu malipo yao ya mishahara ni makubwa zaidi kuliko farmasists .Pia upatikanaji wa kazi nje ya nchi ni mkubwa zaidi kwa matabibu kuliko farmasists, sijui kuna ukweli kiasi gani hapo mkuu. Ahsante .Habari Wadau Kwa Mwenye Maulizo Yoyote Kuhusu Course Ya Clinical Medicine (CO & CA)
Usisite Kuuliza Hapa:
1. Admission
2. Modules
3. Mikopo
4. Life La Kitabu
5. Maswali
6. Ushauri
7. Msaada Wowote.
Kunamtu nilimsikia mahali akisema matabibu malipo yao ya mishahara ni makubwa zaidi kuliko farmasists .Pia upatikanaji wa kazi nje ya nchi ni mkubwa zaidi kwa matabibu kuliko farmasists, sijui kuna ukweli kiasi gani hapo mkuu. Ahsante .
Nashukuru mkuu kwa jibu zuri.Maafisa tabibu(Clinical officers) na mafundi sanifu wa madawa (Pharmaceutical technicians) wote wana diploma hivyo mishahara yao inalingana TGHS B (=680000)
Upatikanaji wa kazi za nje siwezi kuusemea
Ni vizuri mtu akasome kitu anachokipenda na sio kuangalia pesa pekee..Sera hubadilika
Wewe AMO wacha dharau ...Mdogo Kwa Kauli Zako Mkuu Na Maandishi!!! But In Practice Hao MD Wengi Ni Vilaza! Sikatai MD Ni Wakubwa.
Dah mkuu wewe ni AMO unataka kuniambia hujui vyuo vinavyotoa MD. Okay kwa kukujulisha ni kwamba vyuo vyote nchini vinavyotoa MD vinadahili pia ma C.O kwa kutumia cheti cha diploma chenye GPA ya 3.0 kama equivalent qualification. Zamani tulipoingia sisi walitumia GPA ya 2.7Chuo Gani Mkuu Unisaidie? Asante
Mimi sibishani ila nimekupa hali halisi ilivyo. Ukilaza wa mtu unatokana na mtu mwenyewe.Sipo Kwa Ajili Ya Kubishana Mkuu! Na Neno Langu Sio Sheria Asante.
Is it not 3.5 for MD? confirm that please.Dah mkuu wewe ni AMO unataka kuniambia hujui vyuo vinavyotoa MD. Okay kwa kukujulisha ni kwamba vyuo vyote nchini vinavyotoa MD vinadahili pia ma C.O kwa kutumia cheti cha diploma chenye GPA ya 3.0 kama equivalent qualification. Zamani tulipoingia sisi walitumia GPA ya 2.7
Mwaka jana waliweka 3.5 lakini ikaonekana kubwa sana wakashusha mpaka 3.0.Is it not 3.5 for MD? confirm that please.