Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

So AMO Ni Muendezo Wa CO! Ukishamaliza CO Unakuwa Na Options 2 Kwenda MD or AMO! Ina Depend Na Choice + Ufaulu.
Na kuna utofauti gani kati ya MD na AMO?? (in terms of utendaji kazi wa huyu wa MD na AMO )
 
Na kuna utofauti gani kati ya MD na AMO?? (in terms of utendaji kazi wa huyu wa MD na AMO )
Kuna Baadhi Ya Medical Procedure AMO Haruhusiwi Kufanya! Ni Chache Za Surgery! Siwezi Lizungumza Hapa.
 
Pia nimepata za hapa na pale kuwa hii course ni ngumu, je kuna ukweli juu ya hili??

Kama upo ni sehemu gani exactly ??

kipi kifanyike kuanzia level ya chini kabisa ya certificate mpaka level ya juu??
 
Hii kozi nimeskia haitambuliki Tanzania, je ni kweli?
REF to mama Ndalychuckle
 
Pia nimepata za hapa na pale kuwa hii course ni ngumu, je kuna ukweli juu ya hili??

Kama upo ni sehemu gani exactly ??

kipi kifanyike kuanzia level ya chini kabisa ya certificate mpaka level ya juu??
Ugumu Wa Course Upo Kichwani Mwako! Ingawaje Wanafunzi Wangu Wengi Wanalalamikia Pathology, Epidemiology, Physiology, Anatomy & Internal Medicine! Kidogo Na OBGY
 
AMO Ni Assistant Medical Officer, Ambae Yeye Kasoma 2 Years Course Baada Ya Kumaliza CO! Ni Equivalent To MD!
AMO sio sawa na MO..
AMO ni Assistant Medical Officer na uyo AMO ni Medical officer...
AMO ana hold Advance diploma in medicine wakati MO anahold degree ya udaktari...ambayo tunaita Doctor of medicine(MD) na wengine wanaita Bachelor of medicine and bachelor of surgery (MBBS)...

kwa iyo Amo ni mdogo kwa Mo....
sawa kijana
 
Mdogo Kwa Kauli Zako Mkuu Na Maandishi!!! But In Practice Hao MD Wengi Ni Vilaza! Sikatai MD Ni Wakubwa.
 
Back
Top Bottom