Mkuu ushareport hapo decca??Mi nimechaguliwa Decca ..kwa anaejua anipe dondoo kidogo
Mkuu...diploma ya clinical medicine UDOM??? Ndyo nasikia kwakonaombeni msaada wakuu kwa yoyote mwenye joining instruction ya diploma in clinical medicine UDOM anitumie whatsapp kwenye namba 0756508817...nisaidieni wakuu
nimekosea mkuu...nilitaka kumaanisha MEDICAL LABORATORYMkuu...diploma ya clinical medicine UDOM??? Ndyo nasikia kwako
Anhaa oukeyy ...nimekosea mkuu...nilitaka kumaanisha MEDICAL LABORATORY
Mi nimechaguliwa Decca ..kwa anaejua anipe dondoo kidogo
Vyuo vinavyotoa pharmacy ni hivi, mbona kuna vyuo vingine ambavyo havijawa registered kutoa kozi hiyo na vinatoa? Mwisho wa wanafunzi nini? The most likely outcome ni kutotambuliwa vyeti vyao? Unasemaje mtaalamuHabari Wadau Kwa Mwenye Maulizo Yoyote Kuhusu Course Ya Clinical Medicine (CO & CA)
Usisite Kuuliza Hapa:
1. Admission
2. Modules
3. Mikopo
4. Life La Kitabu
5. Maswali
6. Ushauri
7. Msaada Wowote.
kama unayo naomba unitumie...au kama una mtu anaweza nisaidia..nijulishe mkuuAnhaa oukeyy ...
Hakuna chamaana apoMi nimechaguliwa Decca ..kwa anaejua anipe dondoo kidogo
Module nyepesi mno pitia module ya surgery, obgy utaona kuna tatizo kwenye module unaweza ukafaulu mitihani vizuri kwa kusoma modules ila kichwani hakuna kitu.Mkuu Mimi Nipo CMT 4 naona tuatumia module vipi kuna haja Nitumie vitabu Au niendelee Na kukomaa Na hizo manual?
Boss usifananishe MD na vitu vya ajabu. Hamna MD anaejielewa akawa kilaza kwa AMO ndo maana AMO akitaka kuwa MD anahustle 5yrs. AMO na CO they only know "how", but MDs know "how" and "why" hiyo ndo tofautiMdogo Kwa Kauli Zako Mkuu Na Maandishi!!! But In Practice Hao MD Wengi Ni Vilaza! Sikatai MD Ni Wakubwa.
AiseeeeBoss usifananishe MD na vitu vya ajabu. Hamna MD anaejielewa akawa kilaza kwa AMO ndo maana AMO akitaka kuwa MD anahustle 5yrs. AMO na CO they only know "how", but MDs know "how" and "why" hiyo ndo tofauti
mkuu naomba namba yakoHunifahamu Mkuu! Nimepita CO! Sidhani Kama Unajua Nilipo Now! Heshima Itawale.
Kwa nn mkuu nani anakudharau mkuuUnajua MD wa hapa Tz wanadharau sana, na bahati mbaya sana katika hospitali nyingi za wilaya AMO ndo wapo wengi na ndio wanaotegemewa, wanauzoefu na ufanisi mkubwa sana katika kazi kuliko hawa freshmen 'MDs) lakini dharau iliyopo katika 'medicine' asee! inatia kichefuchefu.