Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

Lakini kumbuka mitaala katika hii Course hubadilika mara kwa mara, kwahiyo it's better kufika chuo kwanza...
Sawa kijana?
Kweli Mkuu Ila Currently Tunatumia Mtaala Wa JULY 2016. Bado Haujabadilika Ila Kuna Baadhi Ya Session Zimetolewa Na Kuongezewa! Better Kupitia Mtaala
 
Vyuo binafsi vilivyopo dar na bei zao....pia admission naeza pata kwa mwez wa 10 mwshon!?
 
Vyuo binafsi vilivyopo dar na bei zao....pia admission naeza pata kwa mwez wa 10 mwshon!?
Mwezi Wa Kumi Mwishon Ndio Masomo Huwa Yanaanza! Ila Pia Kuna Intake Ya March!
Vyuo Vya DSM Vipo Vingi
1. KAM
2. DECCA
3. KAMPALA UNIVERSITY
Etc
Gharama Za Malipo Wasiliana Chuo Naona Vingi Vya Dsm Vina Website Yenye Maelezo Yote!
 
0oops!! Vepee kuhus ajiraa mkuu
Ajira Zipo Mkuu!! Ila Kiushauri Soma Kwanza Ukikaa Na Kuwaza Ajira + Mshaara + Kujiendeleza Wakati Hata Modules Hujaziona! Hautofika Mkuu Niamin. Soma Kwa Kuelewa, Mafanikio Yatakuja Tu.
 
Ajira Zipo Mkuu!! Ila Kiushauri Soma Kwanza Ukikaa Na Kuwaza Ajira + Mshaara + Kujiendeleza Wakati Hata Modules Hujaziona! Hautofika Mkuu Niamin. Soma Kwa Kuelewa, Mafanikio Yatakuja Tu.
Mkuu chuo gani n boraa kat ya HIV
Lindi,maswa,mtwara na kibaha cotc?!
 
Mkuu chuo gani n boraa kat ya HIV
Lindi,maswa,mtwara na kibaha cotc?!
Vyote Vya Serikali Viko Vizuri! Ila Naweza Kuizungumzia Mtwara COTC Ni Kizuri Maana Ndipo Nilipo! Ni Kizuri (SHULE IPO, WALIMU, MAJI, UMEME ,HOSPITAL + MAJENGO) Karibu
 
Mikopo Inapatikana!! Via Global Funds! Na Ninavyojua Wanapata Wa Serikalini Tu! Ambapo Kama Last Year Walilipiwa Ada + Matumizi 520,000/= Ya Chakula Per Semester.
Kwa sisi tumekosa government na tumepata admission. Private na life letu gumu msaada wetu wa mkopo tunaupata wapi
 
Back
Top Bottom