baba bora
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,500
- 1,096
UmechaguliwA wapiDaaah lakini c pameshajaa mkuu?!
Vepee uwezekano wa kuhamia upo?!
UmechaguliwA wapiDaaah lakini c pameshajaa mkuu?!
Vepee uwezekano wa kuhamia upo?!
Aiseee privateUmechaguliwA wapi
Chuo Kimejaa Kweli! Ila Kuhusu Kuhamia Itabidi Ujipange Na Uje Mwenyewe Chuoni Uonane Na Wadau Wanaweza Kukusaidia! Mimi Sina Uwezo Huo.Daaah lakini c pameshajaa mkuu?!
Vepee uwezekano wa kuhamia upo?!
Lakin possible ya kuhamia IPO mkuu?!Chuo Kimejaa Kweli! Ila Kuhusu Kuhamia Itabidi Ujipange Na Uje Mwenyewe Chuoni Uonane Na Wadau Wanaweza Kukusaidia! Mimi Sina Uwezo Huo.
Mkuu Soma Maelezo Hapo Juu Nilishalifafanua Hili. AsanteKwa sisi tumekosa government na tumepata admission. Private na life letu gumu msaada wetu wa mkopo tunaupata wapi
Uhamisho kwenda serikali mgumuAiseee private
AiseeeeUhamisho kwenda serikali mgumu
Siwezi Kukujibia Hili!Lakin possible ya kuhamia IPO mkuu?!
Wapigie Namba HiziBado mkuu
Unaweza kukosa tenaAiseeee
Kwa,mwakani itawezekana mkuu?!
Heshima Itawale. AsanteMkuu clinical nedicine ndo mdudu gan
Ahsante ngoja niwachekWapigie Namba Hizi
028-2750309
Poa,nitaenda tuu njombee!!Unaweza kukosa tena
..watu wengi Wanataka govt so competition kubwa
Calm down angalia uzi wako alafu unijibu usipanic mkuuHeshima Itawale. Asante
Typing errorCalm down angalia uzi wako alafu unijibu usipanic mkuu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Post Namba Ngapi??Calm down angalia uzi wako alafu unijibu usipanic mkuu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nipe Muda Nikuchungulizie Hapa OfisiniIyo namba cjui hawaitumii maana inazingua kuna njia nyngne mkuu
Heading Haibadiliki! Swali Lako Jibu Unalo Asante.Calm down angalia uzi wako alafu unijibu usipanic mkuu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app