unapatikana address gani sasahyo simpo sana nitafute nikupe namba ukanunue dawa ya kuacha pombe na sigara
unapatikana address gani sasahyo simpo sana nitafute nikupe namba ukanunue dawa ya kuacha pombe na sigara
mi siuzi hizo dawa ila kuna jamaa yangu alitumia ngoja nikatafute chupa ya hiyo dawa ina namba za simu ntutuma humuunapatikana address gani sasa
ok,nitashukuru mkuumi siuzi hizo dawa ila kuna jamaa yangu alitumia ngoja nikatafute chupa ya hiyo dawa ina namba za simu ntutuma humu
mkuu unatumiaga pombe gani?? nahisi kinachokutesa na hang over, changanya pombe na ugoro balaa lake hutakuja kugusa pombe tena, ila kwa upande mwingine usiache banaMwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.
Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
0789085898ok,nitashukuru mkuu
Mhh baada ya mwaka unazua gonjwa lingine kubwa hapoKila Unapotaka kwenda kunywa pombe uwe una kunywa kwanza vidonge vya flagyl ili usinywe pombe.
Sasa uwe unaacha hela nyumbani ndiyo uende bar, Ukifika shika rozari au tasbiri uanze kusali muda si mfupi urarudi home faster na kulala kwa utulivu mkubwa sana 🤣 🤣 🤣Kwanza natumia hela kinyume na malengo hlf siwez kusali tena..najut sana
KhaaaaaSasa uwe unaacha hela nyumbani ndiyo uende bar, Ukifika shika rozari au tasbiri uanze kusali muda si mfupi urarudi home faster na kulala kwa utulivu mkubwa sana [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Sinaga hang over kabisa mie..sahiv nakunywa serenget lite nachanganya na savanamkuu unatumiaga pombe gani?? nahisi kinachokutesa na hang over, changanya pombe na ugoro balaa lake hutakuja kugusa pombe tena, ila kwa upande mwingine usiache bana
kunywa konyagiSinaga hang over kabisa mie..sahiv nakunywa serenget lite nachanganya na savana
Ukinywa haishuki chini?Sinaga hang over kabisa mie..sahiv nakunywa serenget lite nachanganya na savana
Mkuu nilijua ni mm peke yangu ndio nateseka nikinywa pombe..Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.
Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
Hahaaaaa hatajuta kurudia tena kunywa pombeKila Unapotaka kwenda kunywa pombe uwe una kunywa kwanza vidonge vya flagyl ili usinywe pombe.
Mkuu wengne tumejaribu yote hayo lakn hamna lolote.Wewe hujutii kulewa, Ila unajutia pesa uliyotumia kulewa Asubuhi unajikuta unaogopa kuchungulia wallet maana salio halizidi buku tatu. Na una lewa kila ukipata pesa maana huna mpangilio.
Tatizo unalewa bila kanuni, leo nakupa zakwangu Tano zingine wadau wataongeza.
1.Nalewa kujipongeza au kupiga akili changamoto iliyombele yangu naitatua vipi.
2. Sichanganyi pesa ya kulewa na bajeti nyingine, hapa Nina maana ukinikuta bar hata Nina million mbili mfuko wa shati Kama bajeti ya pombe Ni buku ishirini hapo haizidi ikiisha natembea.
3. Nahakikisha nimekula na kushiba vizuri kuzuia hangover Asubuhi.
4.Nalewa nikihisi akili yangu imechoka kwa hiyo naichosa zaidi na pombe ili ikiamka iwe na nguvu mpya.
5. Nalewa kutafuta misimamo ya maisha pale ninapokwazwa Basi huwa naepusha madhara kwa kupuuzia kero ZOTE ikiwa Ni pamoja na kuondoa kinyongo.
"IF YOU WHAT TO BE A PLAYER YOU MUST KNOW THE RULES"