Nitonye nimefiwa na mdogo wangu

Nitonye nimefiwa na mdogo wangu

Pole sana mkuu kumbe yule jamaa alikuwa ni ndugu yako...
Nadhani ndio huyo alikuwa anajukumika hapo Mlimani Voda...maana my young bro naye yupo hapo na alinipa taarifa kama hii.
 
Pole sana mkuu kumbe yule jamaa alikuwa ni ndugu yako...
Nadhani ndio huyo alikuwa anajukumika hapo Mlimani Voda...maana my young bro naye yupo hapo na alinipa taarifa kama hii.

Ndio yeye alikuwa anafanya pale vodacom mlimani city
 
Nimeshindwa kuwa jf tangu jana maana nimempoteza mdogo wangu, now kidogo nimepata nguvu ya kuandika. Maralia imeamuamua kumchukua mazima. Daima tutakumbuka mdogo wetu Vianney Mwijage. R.I.P young bro

Pole sana mkuu. R.I.P. our beloved Vianney Mwijage. Naomba uniandikie namba yako ya voda kwenye -PM, Plz, nitonye!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu nitonye.

R.I.P. mdogo wetu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana shemeji nitonye.
Mungu atampumzisha mahala pema peponi.
 
Last edited by a moderator:
Inauma lakini hakuna jinsi mpwa pole sana na mungu aiweke roho ya marhum mahala pema peponi Amina
 
Pole kwa msiba kaka, mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu...
 
Mungu awatie nguvu, pumzika kwa Amani mdogo wetu,
 

Attachments

  • Vianney.jpg
    Vianney.jpg
    8.2 KB · Views: 42
mpola muno kyoma. Mungu akupe faraja na ailaze pema roho ya mdogo wetu.
 
Pole nitonye Poleni wafiwa! M/Mungu awape subra!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom