Jamani! Sio tu alikuwa bado mdogo lakini pia handsome kweli kweli. Huko kwa Mungu nako mmh, tutaenda kugombana huko.
Poleni mwaya
alikuwa bado mdogo
Nimeshindwa kuwa jf tangu jana maana nimempoteza mdogo wangu, now kidogo nimepata nguvu ya kuandika. Maralia imeamuamua kumchukua mazima. Daima tutakumbuka mdogo wetu Vianney Mwijage. R.I.P young bro
Pole sana kaka

Ntonye naomba unipm namba yako ya tigo.