Nitonye nimefiwa na mdogo wangu

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,910
Nimeshindwa kuwa jf tangu jana maana nimempoteza mdogo wangu, now kidogo nimepata nguvu ya kuandika. Maralia imeamuamua kumchukua mazima. Daima tutakumbuka mdogo wetu Vianney Mwijage. R.I.P young bro
 
Pole sana Nitonye
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Amen!
 
Pole sana mdogo wetu.
Mungu aipumzishe roho yake mahala pa salama.
Pole nanyi wafiwa.
 
Pole sana ndugu yangu, Mungu awape uvumilivu kwenye kipindi hiki kigumu. R.i.p mdogo wetu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu yangu.
Kesho pia ni siku ya kumsindikiza rafiki yetu Evance Nyari. Fundi wetu aliyekuwa anatutengenezea magari yetu kule serengeti na kwingineko. Wale wa Leopard tours mnamkumbuka sana huyu jamaa. Atazikwa nyumbani kwao pale Arusha maeneo ya Nduruma.
RIP mdogo wa Nitonye
RIP Evance Nyari
 
nitonye pole sana mkuu
Mwenyezi Mungu ni wa rehema na atampumzisha mdogo wako kwenye ufalme wake. Apumzike kwa amani na mwanga wa milele umwangazie
Pole sana mkuu nitonye
Eeka Mangi pole pia kwa kuondokewa na rafiki yako pia na Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani
 
Last edited by a moderator:
Nimeshindwa kuwa jf tangu jana maana nimempoteza mdogo wangu, now kidogo nimepata nguvu ya kuandika. Maralia imeamuamua kumchukua mazima. Daima tutakumbuka mdogo wetu Vianney Mwijage. R.I.P young bro

Too sad na poleni sana kaka, Wajameni in these two weeks kumekuwa na cases nyingi za vifo vya malaria, hebu tuwe makini.. R.I.P Vianney, Imeniumiza sana..
 
Too sad na poleni sana kaka, Wajameni in these two weeks kumekuwa na cases nyingi za vifo vya malaria, hebu tuwe makini.. R.I.P Vianney, Imeniumiza sana..

inauma sana two days imemshika ndio ikawa kimoja. Tusitumie dawa yeyote bila ushauri wa daktari yeye alimeza fansida zikamzidi nguvu
 
Pole sana kwa msiba wa mdogo wentu Mungu hawape subira hapo nyumbani.
 
Pole sana nitonye.
Hizi case za malaria ni mbona zinabadilika tena? Ni nini jamani?
 
Nimeshindwa kuwa jf tangu jana maana nimempoteza mdogo wangu, now kidogo nimepata nguvu ya kuandika. Maralia imeamuamua kumchukua mazima. Daima tutakumbuka mdogo wetu Vianney Mwijage. R.I.P young bro

pole sana ndugu nitonye viaaney kumbe ni mdogo wako.
Alikuwa ni mfanyakazi mwezake na my bro vodacom.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana, Mungu awatie nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu!
 
Poleni sana JF kama familia moja, pole za dhati kabisa kwako nitonye kwa kumpoteza your young broda. Namuomba MUNGU awape nguvu na subira wakati huu mgumu.


R.I.P. Vianney Mwijage.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…