Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Hii inaweza kuanza kuuzwa lini mkuu? kuna chanzo chochote unaweza ku share nasi tukasoma kwa undani zaidi. Ahsante
 
Unavyo ongea ni rahisi sana kuliko uhalisia wenyewe ukisha ingia kwenye hizo mambo, usifikirie watz ni wajinga kwamba hawazijui wanazijua sana ila risk zake ndo zinasababisha wazitupie kisogo.

N:B hakuna mtanzania atakae kulazimisha upate pesa uwe millionaire ili hali nae ana njaaa, ukiitiwa fulsa ujue ww ndo fulsa kwake
 
Hiyo yani!!kwa lugha hii,na wewe ni wale wale,
Taperi tu,
Utajiri ni siri,ukiona mtu anakuambia njoo huku Kuna pesa,tukipiga deal flani,jua huo ni wizi mtupu.
 
Hiyo march kuna watu walipanick wakauza btc zao zote, nina hakika kwa sasa wanajuta.

Nami ngoja nianze utaratibu wa kuacha angalau 20% kwenye wallet yangu maana kila wiki nalipwa hizo btc, baada ya mwaka nadhan nitakuwa nimekusanya za kutosha!
 
Hivo vi coin vinasaifiaga sana.. saa nyingine mtu unaweza kuwa umefulia ukiingia kwenye wallet unakuta kama vi dola mia vinaku save.. imenitokea mara nyingi sana
 
Hiyo yani!!kwa lugha hii,na wewe ni wale wale,
Taperi tu,
Utajiri ni siri,ukiona mtu anakuambia njoo huku Kuna pesa,tukipiga deal flani,jua huo ni wizi mtupu.
Sawa mwananchi mjanja, usiyependa kutapeliwa..
 
Sawa mwananchi mjanja... Endelea kuwa mjanja hivo hivo ukidhani kila mtu anawinda hiyo hela yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…