Nitawezaje kufanya biashara bila mke kujua?

Huwezi kumficha mkeo Kila kitu ...

Cha muhimu Kama mwanaume
Kuwa na kauli za ki meja ndani ya nyumba...

Baba kasema....
Ova
Baba kasema....

Ukiweza hivyo
Hata remote ya TV iwe mezani hawata badili channel
Watasubiri mpaka
Baba aseme ...

Kwani haiwezekan kuweka demokrasia humo ndani?😀
 
No way mzee jiangalie wewe na kesho yako kwa nini ukwame kisa mtu kwa jina la mke....?
 
Dah pole sana aisee hukumsoma kabla hamja funga ndoa au amebadilika baada ya
Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo.

Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda mfupi.

Yeye ni mtu wa kutokujali wateja (kufokea) na kuamini tu kwamba Mungu ataleta wateja kwa Maombi. Huko nyumbani naishi nae kwa machale maana yeye ni mtu wa makelele tu.

Sex ya manati, na huwa siinjoy, ila tunaenda kinafiki tu hafikirii kuna savings kwa ajili ya future (yeye ni mtu wa kununua luxurious stuffs tu). Kila ukijitahid ku-save, tujenge yeye hana habari, excuse kibao.

Ooh yeye anadai ndio anategemewa kwao na siwezi kumtenganisha na ndugu zake.

Mke ni KICHOMI
 
Mkuu umeoa Mwiraq?
 
Umesoma uzi au ni ili mradi tuu uwe wa kwanza kutoa comment.
Jamaa katoa bonge la point basi tu na wewe ni giza.
Kampuni means nibtaasisi inayojiendesha si lazima mwenye kampuni kuwepo.
Kuna meneja na wafanyakazi hovyo mke hana nafasi pale
 
Kuna wanawake wengine vichwa vibovu wewe....kuna mmoja jirani na eneo langu la kazi yupo kama huyu....kwanza jeuri...mteja akimuliza sana anamwambia auzii shida...mumewe muajiriwa ila ana biashara zake pia....

Duka ambalo mke ndo yupo mume baada ya kumuona ana lega akawa anamsaidia kuifufua na kumuajiri mtu awe anamsaidia mkewe kwakuwa hata kufungua tu hafungui kwa wakati...nako wameshindwana...mke kajitoa ikabidi mume nae eneo hilo hilo afungue biashara ile ile...mke kuona hivyo akachange yake iwe toafauti na mumewe na ninapo andika hapa wapo kwenye process za talaka.

Hali ya nyumbani kwako wewe ndo unaifahamu mtoa mada....kuwa makini tu...hata hao ulio waajiri nao wanatafuta maisha...angali Wasikurudishe nyuma zaidi
Huwezi kumficha mkeo Kila kitu ...

Cha muhimu Kama mwanaume
Kuwa na kauli za ki meja ndani ya nyumba...

Baba kasema....
Ova
Baba kasema....

Ukiweza hivyo
Hata remote ya TV iwe mezani hawata badili channel
Watasubiri mpaka
Baba aseme ...
 
Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo.

Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda mfupi.

Yeye ni mtu wa kutokujali wateja (kufokea) na kuamini tu kwamba Mungu ataleta wateja kwa Maombi. Huko nyumbani naishi nae kwa machale maana yeye ni mtu wa makelele tu.

Sex ya manati, na huwa siinjoy, ila tunaenda kinafiki tu hafikirii kuna savings kwa ajili ya future (yeye ni mtu wa kununua luxurious stuffs tu). Kila ukijitahid ku-save, tujenge yeye hana habari, excuse kibao.

Ooh yeye anadai ndio anategemewa kwao na siwezi kumtenganisha na ndugu zake.

Mke ni KICHOMI
Nimekupa siku chache establishment utaoa mke wa pili . Vinginevyo zungumza naye (ukweli) juu ya madhaifu unayoyaona.

Kuoa na kuolewa ni bahati na si kipaji .

Odhis *
 
Kuna wanawake wengine vichwa vibovu wewe....kuna mmoja jirani na eneo langu la kazi yupo kama huyu....kwanza jeuri...mteja akimuliza sana anamwambia auzii shida...mumewe muajiriwa ila ana biashara zake pia....

Duka ambalo mke ndo yupo mume baada ya kumuona ana lega akawa anamsaidia kuifufua na kumuajiri mtu awe anamsaidia mkewe kwakuwa hata kufungua tu hafungui kwa wakati...nako wameshindwana...mke kajitoa ikabidi mume nae eneo hilo hilo afungue biashara ile ile...mke kuona hivyo akachange yake iwe toafauti na mumewe na ninapo andika hapa wapo kwenye process za talaka.

Hali ya nyumbani kwako wewe ndo unaifahamu mtoa mada....kuwa makini tu...hata hao ulio waajiri nao wanatafuta maisha...angali Wasikurudishe nyuma zaidi

Nachojua hata mbinguni ,
Kauli kuu na ya mwisho anatoa mwanaume...

Licha ndani ya familia..

Mkuu huyo jirani , atakuwa Kuna kitu kapewa😂 kama
Limbwata🤣
haiwezekani

mwanaume ufunge duka kisa mwanamke kakushinda...

Inatakiwa kuanzi ruhusa ya kuonja chumvi jikono ,
Mpaka ya kula
Anatoa baba

Hujawai kuona mwanamke anapika Kisha anashinda njaa akisubiri mmewe aje au atume taarifa" mke wangu we kula leo sitakuja mchana"

Kama unamiliki Silaha"bastola huwezi acha pelekwa jela kisa ujinga wa mwamke
🚶🚶🚶
 
Sio kila kitu ushindane ...mambo mengine yanachosha...unaweza jikuta sehemu sio kisa mambo ya kupita. ...

Amani itakuja kama mtaishi kwa upendo na kushirikiana...kama mwenzako hataki ubabe utasaidia nn? umpe nafasi ya kufanya anacho taka kwa kumpa likizo aende kwao labda usije ishia gerezani bure
Nachojua hata mbinguni ,
Kauli kuu na ya mwisho anatoa mwanaume...

Licha ndani ya familia..

Mkuu huyo jirani , atakuwa Kuna kitu kapewa kama
Limbwata
haiwezekani

mwanaume ufunge duka kisa mwanamke kakushinda...

Inatakiwa kuanzi ruhusa ya kuonja chumvi jikono ,
Mpaka ya kula
Anatoa baba

Hujawai kuona mwanamke anapika Kisha anashinda njaa akisubiri mmewe aje au atume taarifa" mke wangu we kula leo sitakuja mchana"

Kama unamiliki Silaha"bastola huwezi acha pelekwa jela kisa ujinga wa mwamke
 
Mtafutie kozi fupi fupi za customer care.

Na wewe usimame as farther house, hawa ukisema sweet sana watakukalia.

Usifanye biashara kwa siri, mfundishe, kesho ukiwa haupo aweze kukuza watoto.
 
Sio kila kitu ushindane ...mambo mengine yanachosha...unaweza jikuta sehemu sio kisa mambo ya kupita. ...

Amani itakuja kama mtaishi kwa upendo na kushirikiana...kama mwenzako hataki ubabe utasaidia nn? umpe nafasi ya kufanya anacho taka kwa kumpa likizo aende kwao labda usije ishia gerezani bure

Shida ni ma pepe
Kila mwezi atakuwa anaenda edda.,
Kama katulia mbona hatojutia...

Waswahili husema,
"Ukipewa handazi usililie kitumbua"
 
Back
Top Bottom