Nitawezaje kufanya biashara bila mke kujua?

Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo.

Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda mfupi.

Yeye ni mtu wa kutokujali wateja (kufokea) na kuamini tu kwamba Mungu ataleta wateja kwa Maombi. Huko nyumbani naishi nae kwa machale maana yeye ni mtu wa makelele tu.

Sex ya manati, na huwa siinjoy-inabid kuvuta hisia ya mwanamke mwingine - imagination- ili nikojoe fasta nikafanye shughuli nyingine, kiufupi naishi KINAFIKI tu Bora liende. hafikirii kuna savings kwa ajili ya future (yeye ni mtu wa kununua luxurious stuffs tu). Kila ukijitahid ku-save, tujenge yeye hana habari, excuse kibao.

Ooh yeye anadai ndio anategemewa kwao na siwezi kumtenganisha na ndugu zake.

Mke ni KICHOMI
Kwanini uteseke na mtu ambae mmefahamiana ukubwani tuu . Ingekuepo ni Mimi ningempiga chini directly nao mwingine au oa mke wa pili. Atakufanya ufe ukiwa masikini
 
Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo.

Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda mfupi.

Yeye ni mtu wa kutokujali wateja (kufokea) na kuamini tu kwamba Mungu ataleta wateja kwa Maombi. Huko nyumbani naishi nae kwa machale maana yeye ni mtu wa makelele tu.

Sex ya manati, na huwa siinjoy-inabid kuvuta hisia ya mwanamke mwingine - imagination- ili nikojoe fasta nikafanye shughuli nyingine, kiufupi naishi KINAFIKI tu Bora liende. hafikirii kuna savings kwa ajili ya future (yeye ni mtu wa kununua luxurious stuffs tu). Kila ukijitahid ku-save, tujenge yeye hana habari, excuse kibao.

Ooh yeye anadai ndio anategemewa kwao na siwezi kumtenganisha na ndugu zake.

Mke ni KICHOMI
Tuachane na swala la biashara kwanza. Huyo mke mlikutana nae vipi?

Late marriage is better than a bad marriage.
 
Huwezi kumficha mkeo Kila kitu ...

Cha muhimu Kama mwanaume
Kuwa na kauli za ki meja ndani ya nyumba...

Baba kasema....
Ova
Baba kasema....

Ukiweza hivyo
Hata remote ya TV iwe mezani hawata badili channel
Watasubiri mpaka
Baba aseme ...
Kwa mtindo huu Siku zako zinahesabika ujue!!
Hatutakuona humu tena.

Kukata maneno ili uishi kwa uhuru oa tajiri saaana. Utakuwa na amani.
 
Ndoa inakufanya uishi kama unauza Cocaine....

Mkuu kama umejiridhisha kuwa NDOA inakurudisha nyuma kimaendeleo au haikupi Furaha.. hakuna haja ya kuteseka kwa kitu ulichokichagua mwenyewe.

Hakuna mkubwa kwenye familia ya mwanaume zaidi ya yeye,, Jitahidi TAKA yako ndio iwe taka,, za wengine Takataka.(Ukitaka kitu, kinachofuata iwe utekelezaji).
 
Umfiche ili iweje?
Fungua biashara na umchimbe mkwara kuwa hutaki kumuona karibu na hizo biashara, akae nyumbani atulie au afanye shughuli zake.
Wanaume wengine mnakwama vipi? Seems like unamuogopa mke wako loh
 
Umesoma uzi au ni ili mradi tuu uwe wa kwanza kutoa comment.
Yupo sahihi kabisa.akifungua kampuni itamsaidia pindi mke akijua ni rahisi kumdanganya kuwa yeye pale ana tu ji hisa tudogo coz kampuni inakuwa na wakurugenzi wengi including shadow directors. So ni rahisi kujificha chini ya mwanvuri wa director kivuri.
 
Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo.

Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda mfupi.

Yeye ni mtu wa kutokujali wateja (kufokea) na kuamini tu kwamba Mungu ataleta wateja kwa Maombi. Huko nyumbani naishi nae kwa machale maana yeye ni mtu wa makelele tu.

Sex ya manati, na huwa siinjoy-inabid kuvuta hisia ya mwanamke mwingine - imagination- ili nikojoe fasta nikafanye shughuli nyingine, kiufupi naishi KINAFIKI tu Bora liende. hafikirii kuna savings kwa ajili ya future (yeye ni mtu wa kununua luxurious stuffs tu). Kila ukijitahid ku-save, tujenge yeye hana habari, excuse kibao.

Ooh yeye anadai ndio anategemewa kwao na siwezi kumtenganisha na ndugu zake.

Mke ni KICHOMI
mgeuze mkeo awe rafiki yako ndipo usnze kumbadilisha polepole,kumbuka mkeo sio adui yako ni mwenza wako,rafiki yako,mwandanibwako na msiri wako
 
Back
Top Bottom