Nitashangaa kama hizi degree na mwaka huu zimepewa wanafunzi

Ulaya wakimaliza Degree ya historia huwa wanajiajiri wapi..
National Museum, National Archives , Historical hotspots, Educations istitutions, mbali zaidi wenzetu wanaaajiri mpka watu wa degree ya historia kwenye vyama vya siasa ili kitunza tunu ya uhalisia wa knowledge juu ya historia yao

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Acha Tu Watu Wasome Tupate Idadi Kubwa Wasomi
Hata Ngazi Mbalimbali Kuna Changamoto Tu Nyingi
Katibu Mahsusi
Mtunza Kumbukumbu
Fundi Sanifu
Fundi Bomba
Watengeneza Mashine Ofisini
Wakutubi
 
Hawa wanafiki wa kuteuliwa wanatwambia tujiajiri
Shida elimu imekuwa biashara kwa vyuo husika, chuo kinaanzisha tuu li degree fulani ili mradi tuu kipate wanafunzi ili wapate ada na michango ili waingize chao, ila hawana habari na wahitimu wao wakimaliza hapo watakuwa na future ya hiko wanachokisomea?
 
Nilikuwa naangalia course kwenye vyuo vikuu vya wenzetu Kenya aisee wana course heavy na zenye tija ambapo mwanafunzi akimaliza hawezi pata shida mtaani ila huku kwetu kuna mi course ya ajabu na useles ni kupoteza ada tu na muda wako ndio unakuta kijana anakaa miaka mitano mtaani haajiriki na hiyo degree yake kuitumia ni vigumu mwisho wa siku anakuwa bodaboda sasa unajiuliza hizo hela uliyotupa chuoni ungekuwa kununua pikipiki ngapi au gari kabisa upige uber.
 
Hatuko serious na elimu yetu kabisa, kuanzia sisi wazazi mpaka serikali kwa ujumla.
 
Hizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade tuu.
Huwezi kuruhusu nguvu kazi ya taifa ikapoteze miaka 3/4 kwenye maarifa ambayo ni useless ama tayari soko liko saturated nayo, ni heri hiyo nguvu kazi ungeipeleka ikasomee japo ufundi mbalimbali japo kwa mwaka mmoja kisha wawezeshwe waanze kuyakabili maisha mtaani.

1. Degree ya Ualimu wa Masomo ya Sanaa
2. Degree ya Uuguzi na Ukunga
3. Degree za Masomo ya Sanaa
4. Degree ya Somo la Historia

Hizo ni kwa uchache tuu lakini vyuo vingi vinatoa degree ambazo kimsingi zilitakiwa zitolewe na chuo kimoja tuu ambacho kingetosheleza soko la ajira kwa kozi husika.​
Kwa uuguzi na Ukunga nadhani haupo sawa. Graduate wa uuguzi na Ukunga (degree) nchi nzima ambao hawapo kwenye mfumo rasmi wa ajira hawazidi 2000. Lakini wanaupiga mwingi katika hospital za private na vyuo vya kati kama wakufunzi. Wengine wanaenda NGOs kibao, wapo MDH, mkapa foundation, IHI na kambi za wakimbizi. Uhitaji wa wauguzi na wakunga nchini ni mkubwa kuliko waliopo (walioajiriwa + ambao hawajaajiriwa). Hospitals hazina nguvu kazi hadi wizara ya afya imekuja na muongozo wa kujitolea.
Mtoa mada tambua tu kwamba; wauguzi na wakunga wanahitajika sana tatizo uchumi unabana ndio maana hakuna ajira. (Rejea speech ya rais alipotembelea KCMC na ombi la hospital kuongezewa watumishi)
 
Hizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade tuu.
Huwezi kuruhusu nguvu kazi ya taifa ikapoteze miaka 3/4 kwenye maarifa ambayo ni useless ama tayari soko liko saturated nayo, ni heri hiyo nguvu kazi ungeipeleka ikasomee japo ufundi mbalimbali japo kwa mwaka mmoja kisha wawezeshwe waanze kuyakabili maisha mtaani.

1. Degree ya Ualimu wa Masomo ya Sanaa
2. Degree ya Uuguzi na Ukunga
3. Degree za Masomo ya Sanaa
4. Degree ya Somo la Historia

Hizo ni kwa uchache tuu lakini vyuo vingi vinatoa degree ambazo kimsingi zilitakiwa zitolewe na chuo kimoja tuu ambacho kingetosheleza soko la ajira kwa kozi husika.​
Hio no 2 umepotea Sana mtoa mada
 
Back
Top Bottom